mwakyembe

  1. Yoda

    Rais William Ruto anapaswa kujifunza kwa Mwakyembe

    Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
  2. Congo

    TRL imarisheni huduma za reli ya Mwakyembe

    Huduma za treni kwenda Pugu zimekuwa mbovu sana siku za karibuni. Treni zinachelewa. Zinaenda mwendo wa kusuasua. Mabehewa ovyo. Abiria wanaingia bure. Hiyo treni bado inahitajika iimarisheni. Itengeezeeni COST CENTRE yake muine kama inalipa ili ipewe ruzuku ya serikali au mpandishe bei.
  3. britanicca

    Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi? Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu. Britanicca.
  4. tpaul

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye...
  5. A

    DOKEZO Upunguzwaji wa Mabehewa kiholela (Treni za Mwakyembe) unahatarisha Usalama wetu

    Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria. Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza. Tunaombeni mtufikishie ujumbe huu. Hizi picha zinaonesha namna...
  6. S

    Nasubiri kwa hamu hotuba ya Harrison Mwakyembe aliyetumika kumchafua Lowassa kwenye sakata la Richmond

    Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada. Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua. Na mhe. Rafael...
  7. Huihui2

    Mwakyembe alitumika kumuumiza Lowassa kwenye kashfa ya Richmond

    Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile Mwakyembe na kusema kuwa kama watu hawaridhiki waombe kanuni zitenguliwe ili aweze kuwasilisha upya...
  8. Mganguzi

    Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

    Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi...
  9. KING MIDAS

    Inyangwa. Ugali wa ndizi unaofanya Wanyakyusa wawe critical thinkers kama kina Mwakyembe, Mwabukusi, Ulimboka, Mwandosya, Mwaisyeje

    Huu ni ugali wa ndizi ulio na maajabu. Ukiula hautabaki jinsi ulivyo.
  10. figganigga

    Mwakyembe alimtembelea Dr. Slaa Serena Hotel, lakini Kashindwa Kumtembelea Korokoroni Polisi Mbeya

    Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
  11. D

    Natamani watu kama Spika Tulia, Lissu, Shivji, Mwakyembe, Kabudi, Halima na Masereka waandae kongamano. Tuone jinsi Tulia atakavyowatoa jasho

    Dr. Tulia Ackson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lissu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Feleshi anasema hakuna vyenya kasoro. Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani yuko...
  12. R

    Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

    Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa! Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
  13. N

    Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini

    Mwanasiasa aliyewai kuwa Waziri kwenye Wizara tofauti, ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe ameitwa na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) kueleza kwa kina kile alichoeleza mbele ya Umma kuhusu madai ya baadhi ya mashirika (NGOs) kuhusika kueneza...
  14. benzemah

    TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

    Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia JISOMEE HAPO...
  15. USSR

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua. Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote USSR...
  16. wilcoxon

    Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  17. B

    Ripoti ya Tume ya Mwakyembe ni another Professorial Rubbish

    Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share. Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa kutoka kwenye ripoti hiyo. Ama kwa hakika ni aibu mtupu yenye arrogance za kishamba. Izingatiwe...
  18. BARD AI

    Dkt. Mwakyembe akabidhi ripoti ya uchunguzi kufeli mawakili LST

    Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Harrison Mwakyembe amesema changamoto hizo pia...
  19. sajo

    Wakati Ripoti ya Mwakyembe bado gizani, Law School of Tanzania waendelea kunoa 'wembe'. Watangaza ratiba ya mitihani inayohusisha supp

    Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
  20. J

    Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
Back
Top Bottom