Wanabodi,
Je, una swali lolote la kihabari, kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe?
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe, kesho asubuhi, kuanzia saa 1:30-3:00 atakuwa live kujibu maswali yako...
Niliwawahi andika miaka hii haya mashindano ni ya kitapeli
Wapo waliodhihaki
Nenda mtandao wa salehe jembe usikie mwenyewe mshindi wa enzi hizo Kayumba na zawadi alizopata.
1) Anasema wazazi walipewa mil 2 tu
2) Aliletewa gari ambalo alikuwa jipya nakuwambiwa utakuwa ukitumia
3) Alipelekwa...
Iko wazi wachezaji wa Yanga hawajalipwa pesa zao za mechi ya Simba waliohaidiwa.
Mmh mwakyembe tinaomba hili swala ingilia kati owe fundisho kwa wowote wanaoahidi bila kulipwa. Kama mnakumbuka wachezaji wa yanga waliwahi kugoma huko nyuma gsm wakasema wanawalipa wote na kutoa mil 200...
Aston Villa wametupa njia kumsajili Samatta.
Usajili huu uwe chachu kwanza
1. Kusaidia wachezaji wa Kitanzania kupata timu England maana ndio ligi pendwa. Chakufanyika kwa Mwakyembe ni kuhakikisha Vilabu vya nje na ndani vinavyowatumia Watanzania visiwe kikwazo kwa wachezaji wao kwenda England...
Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa.
Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale...
Waziri anayetambaiaga PhD yake jana kakalishwa uwanjani na watoto waliopata ma zero primary schools mbaya zaidi alikuwa na Naibu Spika huku wakijifanya ni watu wema ili wapate huruma ya vijana walioruhusiwa kuingia bure, yes kiingilio kilikuwa ni miguu yako tu, lakini at what cost?
Mbeya kuna...
“Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.
Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
Profesa Mtanzania ambae kwa sasa yuko Marekani, Profesa Joseph Mbele, ameandika kwenye Facebook page yake (Joseph Mbele bila neno Prof) kuwa anapingana na Mwakyembe, na amesema hata yeye ana degree nne na mtu yeyote asiye na degree nne kama yeye ana nafasi ya kumkosoa.
Ameandika:
"NAPINGA...
Hapo Picha inajieleza, maneno mengi sitaki
wakati serikali inayo ongozwa na ma-profesa na ma phd holders ikiprove failure, na huku vituko vikizidi kila uchao, Harisson Mwakyembe ambaye wakati mmoja aliwahi kumshauri JIWE kwamba waifanye TLS (Chama Cha Wanasheria Wa Tanganyika) iwe SACCOS na...
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi.
Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia kwa kitendo Cha kuwashusha kwa helikopta watangazaji waliowasajili lakini kuwepo kwa red carpet na...
Ikiwa siku chache baada ya dr Mwakyembe kudai Lowasa ni muhusika mkuu wa Richmond na hachomoki waziri mkuu huyo wa zamani amjibu.
Lowasa amedai kama ana udhibitisho inatakiwa aende mahakamani sio bungeni na kwenye majukwaa ya siasa ili ubishi uishe.
Ila Lowasa akamkumbusha ukweli unajulikana...
Mara baada ya kuahirishwa kikao cha Bunge jana jioni, Waziri Mkuu aliitisha kikao cha Mawaziri na Manaibu wao akidai ni kikao cha KIKAZI.
Katika kikao hicho aliwaambia kwamba serikali ilikua na nia njema katika suala zima la Richmond na kwamba mawaziri wanaothubutu kushabikia ripoti ya Richmond...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.