Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli.
Katika chaneli hiyo ya mtandao...
Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa.
Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga.
Where is he?
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya wapambe wa Mwakyembe kujiapiza na kugoma kumnadi wala kumpa kura zao mgombea wa CCM Ally Jumbe ambaye...
WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya...
Waziri wa habari Mhe. Mwakyembe amesema hakuna Media yoyote ya kimataifa iliyoxuiwa kufanya kazi nchini.
Kadhalika hakuna kanuni yoyote inayomtaka mtangazaji wa media hizo kuandamana na askari kila anapoenda kufanya mahojiano na wanasiasa.
Waziri Mwakyembe amesema hayo katika mahojiano na...
Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye misiba ya watu mashuhuri!
Ingekuwa zamani msiba wa mkapa usingeisha salama bila habari za magazeti...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani na wataalamu wa lugha ya alama, ili kuboresha matumizi fasaha ya Kiswahili na kuzuia upotoshaji.
Pia, amewataka BAKITA kuwabana wachapishaji wa...
KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI
Na, Robert Heriel
Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua...
arusha
askofu gwajima
ccm
dodoma
freeman mbowe
furaha
halima mdee
jerry silaa
jpm
kigamboni
kigoma
kura za maoni
makamba
makonda
matokeo
mbunge
mkono
mshindi
mtu
mwakyembe
pascal mayalla
paul makonda
pesa
rais magufuli
rushwa
tarime
ubunge
uchaguzi
watanzania
wote
Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi.
Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni asijue la kufanya baada ya Wanaccm akiwemo anayeitwa KINANASI kuchoka na uongozi wake duni na hivyo...
Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge.
Baadaye Naibu...
Waziri wa michezo Dkt. Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo.
Chanzo: Channel ten!
Najikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea.
Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary
Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary
Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary
Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa...
Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu.
Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao.
Cha muhimu...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.