mwakyembe

  1. Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli. Katika chaneli hiyo ya mtandao...
  2. Yuko wapi Dkt. Harrison Mwakyembe Msomi aliyekuwa akiwazodoa wanaCCM ambao hawajaenda shule?

    Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa. Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga. Where is he?
  3. Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  4. Uchaguzi 2020 CCM maji ya shingo Kyela, wapambe wa Mwakyembe waapa kuichagua CHADEMA. Mangula ashindwa kuokoa Jahazi

    Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya wapambe wa Mwakyembe kujiapiza na kugoma kumnadi wala kumpa kura zao mgombea wa CCM Ally Jumbe ambaye...
  5. Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

    WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya...
  6. J

    Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

    Waziri wa habari Mhe. Mwakyembe amesema hakuna Media yoyote ya kimataifa iliyoxuiwa kufanya kazi nchini. Kadhalika hakuna kanuni yoyote inayomtaka mtangazaji wa media hizo kuandamana na askari kila anapoenda kufanya mahojiano na wanasiasa. Waziri Mwakyembe amesema hayo katika mahojiano na...
  7. D

    Kumbe dawa ya magazeti ya udaku ni Ukuda. Kwa mara ya kwanza hawakuweka udaku juu ya msiba wa Mkapa. Pongezi Mwakyembe

    Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye misiba ya watu mashuhuri! Ingekuwa zamani msiba wa mkapa usingeisha salama bila habari za magazeti...
  8. Waziri Mwakyembe aiagiza BAKITA kudhibiti upotoshaji Kiswahili

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani na wataalamu wa lugha ya alama, ili kuboresha matumizi fasaha ya Kiswahili na kuzuia upotoshaji. Pia, amewataka BAKITA kuwabana wachapishaji wa...
  9. Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  10. Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua...
  11. Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

    Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi. Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni asijue la kufanya baada ya Wanaccm akiwemo anayeitwa KINANASI kuchoka na uongozi wake duni na hivyo...
  12. E

    Mbunge wa Busega, Dkt. Chegeni ataka Waziri Mkuu asiwe anajibu maswali ya papo kwa hapo Bungeni

    Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge. Baadaye Naibu...
  13. Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

    Hii nchi kwa hali inayoendelea nayo ni vema wananchi tukaongeza maombi
  14. J

    Dkt. Mwakyembe: Tumefungulia soka pekee michezo mingine itasubiri baadaye

    Waziri wa michezo Dkt. Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo. Chanzo: Channel ten!
  15. J

    Walisoma pamoja: Mbowe na Ndugai pale Kibaha, Lowassa na Dkt. Mwakyembe kule Milambo na Dkt. Slaa na Membe Itaga seminary

    Najikumbusha tu historia ya shuleni na namna watu mnavyoweza kufanana kitabia kutokana na mazingira mliyosomea. Mbowe na Ndugai ni zao la Kibaha secondary Lowassa na Dr Mwakyembe ni zao la Milambo secondary Dr Slaa na Membe wao ni Itaga seminary Polepole na Bashe zao la Benjamin Mkapa...
  16. TFF na BMT mpo serious kweli? Hivi Kagere na Morrison wanaliuaje Soka letu?

    Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu. Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao. Cha muhimu...
  17. Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  18. Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

    Karibu Paskali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…