Wanabodi,
Je, una swali lolote la kihabari, kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe?
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe, kesho asubuhi, kuanzia saa 1:30-3:00 atakuwa live kujibu maswali yako...