Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani
MWANZO 17: 1-22
"Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi.
Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu leo tarehe 02 Juni 2023 akiwa Bukoba Mkoani Kagera ametangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
“Kwa mujibu wa miongozo ya Shirika la Afya la Duniani (WHO), tangu tulipomruhusu mgonjwa wa mwisho, tulipaswa kuendelea kuchukua...
Habari JF,
Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu.
Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu.
Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
Kwa wale wakongwe waliosomaChuo Cha Ualimu Mpwapwa, Bustani na Butimba miaka ya 1960 hadi 1990 mwanzoni bila shaka watamkubuka Mwalimu wao mahiri Mzee Kizo,(91)! Bila shaka PM Majaliwa yupo ktk kundi hili!
Mzee wetu huyu alitefundisha maelfu ya walimu Tanzania ametangulia mbele ya Haki Jumapili...
Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?
Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Kuna kipindi nlisoma kijana mmoja humu ambaye ana jinsia ya kiume akilalamika na kutaka msaada kwa wanajamii kuhusiana na kushikwa shikwa makalio na kutongozwa na mwalimu wake wa kiume chuoni.
Kama week mbili hivi sikuweza kula kabisa... Nlijawa na hasira sana... Nlikuwa natetemeka tu kwa...
Niko siti ya mbele karibuni walimu.
Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi.
KARIBUNI
Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu.
Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam.
Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani.
Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa...
PART 1.
MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU.
MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE?
MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI.
Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?,
mnatuchuliaje WALIMU...
PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA
John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
Nipo hapa Chuo X Kuna Mwanamke nimemwambia Mimi ni Mtumishi wa Serikali nafanya Kazi ofisi ya waziri Mkuu .
Wakati tupo Katika maongezi imeingia message kwenye simu yangu , jina limeandikwa Mh Mbunge , ukweli ni Kwamba huyo sio Mbunge wa Serikali ya JMT Bali ni mh Mbunge wa Serikali ya...
Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili.
Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁
Sisi ndio wanawake 😅😅
Cc...
Nimeona post imesambaa sana ya barua ya mapenzi iliyoandikwa na mwanafunzi kwenda kwa mwanafunzi mwingine...kwa Zama hizi hili linaonekana la ajabu lkn nyakati zetu halikuwa jambo la ajabu, binafsi nilikuwa bingwa wa kuandika barua za aina hiyo. Namuomba binti aniazime daftari, japo sina haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.