mwalimu

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːlius kɑmˈbɑɾɑgɑ ɲɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. After this, Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist-governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left areas dependent on food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. Mwalimu wa Tuisheni anahitajika Mkuyuni Mwanza

    Mwalimu wa Tuisheni masomo ya sekondari anahitajika maeneo ya Mkuyuni, Mwanza. Pm kwa yeyote anayefahamu au kuwa na Tuisheni center maeneo ya Mkuyuni.
  2. Wajukuu wa Ibrahimu katika picha, Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha na Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zubeir

    Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani MWANZO 17: 1-22 "Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
  3. Ummy Mwalimu: Marburg imeisha rasmi Tanzania

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu leo tarehe 02 Juni 2023 akiwa Bukoba Mkoani Kagera ametangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania. “Kwa mujibu wa miongozo ya Shirika la Afya la Duniani (WHO), tangu tulipomruhusu mgonjwa wa mwisho, tulipaswa kuendelea kuchukua...
  4. R

    Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  5. Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu. Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
  6. M

    Mwalimu wa Walimu Mzee Ernest Meza Kizo ameaga Dunia!

    Kwa wale wakongwe waliosomaChuo Cha Ualimu Mpwapwa, Bustani na Butimba miaka ya 1960 hadi 1990 mwanzoni bila shaka watamkubuka Mwalimu wao mahiri Mzee Kizo,(91)! Bila shaka PM Majaliwa yupo ktk kundi hili! Mzee wetu huyu alitefundisha maelfu ya walimu Tanzania ametangulia mbele ya Haki Jumapili...
  7. Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  8. Issue ya huyu Mvulana kutongozwa na kushikwa shikwa makalio na mwalimu wa kiume

    Kuna kipindi nlisoma kijana mmoja humu ambaye ana jinsia ya kiume akilalamika na kutaka msaada kwa wanajamii kuhusiana na kushikwa shikwa makalio na kutongozwa na mwalimu wake wa kiume chuoni. Kama week mbili hivi sikuweza kula kabisa... Nlijawa na hasira sana... Nlikuwa natetemeka tu kwa...
  9. Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  10. Mwalimu Nyerere: Wazanzibari hawapendelewi kwenye serikali ya Muungano; wanahaki kwani ni wabia sawia

  11. DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

    Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu. Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
  12. Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  13. R

    Kama Mwalimu anaweza safiri mpaka mkoa mwingine kwenda kuipigia kura CCM, tutegemee nini kwa wananchi wengine?

    Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa...
  14. Kwa mahitaji ya mwalimu wa masomo ya ziada nyumbani (privately) wasiliana nasi kupitia +255653175533

  15. Serikali Iko wapi mwalimu ananyanyaswa na kudhalilishwa Wilaya ya Kilindi Tanga?

    PART 1. MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU. MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE? MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI. Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?, mnatuchuliaje WALIMU...
  16. Picha ya Hemed Mashaka Mdose na Mwalimu Nyerere Kura Tatu Tabora 1958

    PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
  17. Hivi kwanini wanawake wa Tz wanaamini uongo Sana , Je Mwalimu wao kipofu?

    Nipo hapa Chuo X Kuna Mwanamke nimemwambia Mimi ni Mtumishi wa Serikali nafanya Kazi ofisi ya waziri Mkuu . Wakati tupo Katika maongezi imeingia message kwenye simu yangu , jina limeandikwa Mh Mbunge , ukweli ni Kwamba huyo sio Mbunge wa Serikali ya JMT Bali ni mh Mbunge wa Serikali ya...
  18. Kero moja ya Muungano ambayo Mwalimu alishindwa kuchukua hatua

  19. Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  20. B

    Barua kwa Mpendwa Mwalimu wangu

    Nimeona post imesambaa sana ya barua ya mapenzi iliyoandikwa na mwanafunzi kwenda kwa mwanafunzi mwingine...kwa Zama hizi hili linaonekana la ajabu lkn nyakati zetu halikuwa jambo la ajabu, binafsi nilikuwa bingwa wa kuandika barua za aina hiyo. Namuomba binti aniazime daftari, japo sina haja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…