mwalimu

  1. mama D

    Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

    Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia. Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi. Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂 Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao
  2. Allen Kilewella

    Kama Mwalimu Julius Nyerere aliifananisha CCM na Kokoro, wewe ni nani unayeitetea?

    Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini. Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona...
  3. JanguKamaJangu

    Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Mwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.
  4. Bundakwetu

    Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

    Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya...
  5. myself4myself

    DOKEZO Eliah Mwakalonge (Mkufunzi NMNA) pasua kichwa kwa Wanafunzi

    Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge anatufundisha somo la TEHAMA(information and communication Technology). Katika muhula huu wa...
  6. BigTall

    DOKEZO Kagera: Mwanafunzi wa Form 2 abakwa na mwalimu aliyekuwa anamfundisha tuition

    Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo. Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba. Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
  7. G

    Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

    Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
  8. C

    Nahitaji Mwalimu wa Tuition STD 4 - Mbweni Malindi

    Habarini Wakuu Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji msaada wa Mwalimu wa tuition MWENYE UZOEFU kwa Mwanafunzi wa kike wa darasa la 4. Awe anaweza kufika Mbweni Malindi/JKT, Dar es Salaam siyo chini ya mara 3 kwa wiki. Kwa mawasiliano 0625536529. Asanteni
  9. technically

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
  10. Roving Journalist

    HakiElimu yakemea tukio la ukatili wa Mwalimu Mkuu Kagera, yatoa mapendekezo kwa Serikali

    Mkurugenzi wa HakiElimu, John Kalage amesema tukio la mtoto wa Shule ya Msingi Kakanja, Wilayani Kyera Mkoani Kagera kuchapwa katika njia ambayo ilionekana ni ya kikatili limewasikitisha kwa kiwango kikubwa. Ameeleza tukio hilo lililotekelezwa na Mwalimu Mkuu wa shule husika ambapo picha za...
  11. paul miteda

    Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

    Tafadhali ni nani anayejua hii shule? ==== UPDATES: 1 Kwa mujibu wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalumu Dorothy Gwajima, Serikali imefanya ufuatiliaji wa kina na kubaini kuwa tukio hili lilitokea Januari 10, 2023 kwenye Shule moja ya Msingi iliyopo Wilayani...
  12. S

    Natafuta Mwalimu wa Chekechea

    Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
  13. Poppy Hatonn

    CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  14. Mohamed Said

    Omari Mwariko na Historia ya Kifimbo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

  15. N

    Moshi Manispaa: Mwalimu wa kawaida ambae hana cheo hajapata kishikwambi. Manung’uniko yayawala

    Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha: 1. Mkuu wa shule 2. Second masta 3. Mwalimu wa taaluma (Academic master) 4...
  16. Replica

    Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  17. BARD AI

    Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  18. The Assassin

    Tarime: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo

    Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo. Soma mwenyewe hapa chini. ====== MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  19. Stephano Mgendanyi

    Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  20. Roving Journalist

    Kongamano la Kodi Kitaifa, Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Januari 11, 2023

    Lenye lengo la kupokea maoni kuhusu maboresho mbalimbali ya tozo na ada kuelekea uandaaji wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo yoyote Nchini lazima yawe na uhusiano wa moja kwa moja na kodi Amesema “Kwa Nchi...
Back
Top Bottom