mwalimu

  1. sura mbaya

    Mwalimu wa "wildlife ecology "

    Msaada natafuta mwalimu wa "wildlife ecology" anaye patikana dsm.
  2. Mohamed Said

    Siku Moja na Mwalimu Wangu Ahmed Rajab Nairobi

    SIKU MOJA NA AHMED RAJAB MWALIMU WANGU NAIROBI Ahmed Rajab akinipa kazi si haba nyingine ''investigative'' na hapa akitaka sana kusoma ubongo wangu na fikra zangu kwa jambo fulani hizo hazichapwi na jina si lake wala langu kwa hiyo hutoziona popote na akinilipa fedha. Makala hizi hazina...
  3. M

    MWALIMU MOHAMMED AMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE MFANYABIASHARA DICKSON GUEST NA KUJIRECORD NA KUTUMA CONNECTION MTWARA

    #bahariaNEWS- Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja. Akitoa...
  4. JOHNGERVAS

    Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, mkazi wa Mkuti Chini Machinjioni wilayani Masasi, kwa kujihusisha...
  5. R

    Naomba maoni/majibu kutoka kwa wakristo na wanatheolojia kuhusu mafundisho ya mwalimu ( Rabi) Thovia Singer (sehemu ya 1)

    Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism). Hapa anakanusha kwamba Yesu hakuzaliwa na bikira na wala jina Imannueli (Mungu pamoja nasi) siyo jina la Yesu...
  6. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  7. M

    Kwanini walimu wa economics hawajumuishwi kufundisha somo la business studies?

    Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
  8. Roving Journalist

    Dar: Kesi ya Mwalimu Saleh Ayoub (Shule ya Msingi Green Acres) anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi yaahirishwa hadi Februari 17, 2025

    Kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake imeshindwa kuendelea ikidaiwa shahidi upande wa Jamhuri ambaye alitakiwa kutoa ushahidi hakufika...
  9. Mmea Jr

    Kipi hasa kina mnyima nafasi mwalimu wa Economics asifundishe somo la business study ??

    Wakuu natumaini mpo salama ,, moja kwa moja kwenye mada .. Ni hivi katika ajira hizi zilizotolewa na utumishi hivi karibuni ,, nimeona walimu wa Economics wakizuiliwa vikali kuomba nafasi ya kwenda kufundisha somo la business study ( commerce ) .. Somo la bussiness study Hili ni somo...
  10. Jumanne Mwita

    Habari ya kusikitisha: Gari la ‘mafao’ lilivyokatisha uhai wa mwalimu mstaafu na mwanawe

    Muktasari: Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake. Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
  11. Lugano Edom

    Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu

    Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli. Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake. WENGI Huwadharau Waalimu huona hawana thamani hapa duniani. Wala hawafai kusikilizwa
  12. Eli Cohen

    Hakika Mwalimu alikuwa Special, hata hapa anakiri makosa aliyofanya kupelekea Tanzania kutoinuka kiuchumi kutokana na sera za Kijamaa

    Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo. Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa aliteleza. Katika interview hii, anakiri kutaifisha viwanda ilikuwa ni kosa kubwa mno akiongeza na...
  13. C

    Tunatafuta mwalimu wa awali - Chekechea área Salasala

    Tunatafuta mwalimu wa awali - Chekechea - salasala area 0717457679
  14. Damaso

    Mwalimu aliwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza

    Mwalimu analiwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza. Matokeo yake ni ya kusisimua 📸 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10 11. 12. 13. 14.
  15. Mwachiluwi

    Mwalimu alichonipa

    Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea. Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima...
  16. DR HAYA LAND

    Bado naona Salum Mwalimu akiwa hajatumika ipasavyo CHADEMA, bado ana vitu vingi vya ku-offer

    Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi . Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya masoko na pia nimewahi kufanya nae kazi katika taasisi Fulani . Ni Kijana smart ,humble and goal...
  17. N

    Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Kwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
  18. Li ngunda ngali

    Tetesi: Salum Mwalimu kutambulishwa CCM Jumapili

    Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu. Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa. Gari inayotarajiwa kumbeba kesho...
  19. nipo online

    Kazini kwangu mwalimu wa sayansi alietegemewa kapigwa chini sababu alienda interview bila ruhusa

    Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,. Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss. Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana...
  20. Wakusoma 12

    Faida za bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere ni zipi ikiwa Bado wananchi tunauziwa unit kwa bei ileile?

    Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi kama tulivyoaminishwa shida nini wajomba?
Back
Top Bottom