Habari ya muda huu..
Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora.
Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi.
Kulikuwa na huyo jamaa anaitwa Lenard. Jamaa alikuwa mchapa kazi sana lakini alikuwa mlevi pia tena mlevi mzuri tu wa...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
Baada ya msiba mzito ulioikumba bendi ya FM academia baada ya kuondokewa na mpendwa wao marehemu Malou Stonch, mengi yameibuka.
Akizungumza kwenye chombo kimoja cha habari, kiongozi wa kundi hilo Patcho Mwamba amelalamika kwamba baadhi ya wanamuziki wacongoman wanazusha kwamba yeye ni mchawi na...
Wana jukwaa wa MMU habarini?
Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara.
Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu.
Me...
Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda.
Sasa kuna jitu lenyewe halijali, limeonekana likiendesha gari yake Pagani Utopia kama ni off-road car kwenye maji. Na gari haikuzima (labda...
Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja.
IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA?
Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la kijeshi la nchi ya Iran,ikishirikiana na kikundi kutoka nchi ya Iraq(Iraqi Popular Mobilization...
enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)
Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki.
1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)
2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
Hizi zinaweza kua si habari njema kwa wananchi, na ukizingatia mwishoni mwa msimu mwamba anamaliza mkataba wake.
Huko bondeni kwa MADIBA mashabiki wa timu zote kubwa wameoneshwa kukoshwa na uwezo wa master key huku wakimwagia sifa kibao na bahadhi yao wakita kumuona msimu ujao anavaa Uzi wa...
Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025.
Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana!
Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama...
" No one care who i was until i put the mask"
" Peace has cost your strength, Victory has defeated you"
" You think darkness is your ally..."
" I was born in it, molded by it"
Ladies and gentlemen its BANE 🥶🥶🥶🥶🥶
Huyu mwamba given his circumstances hawezi piga mswaki kabisa.
Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani.
Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui...
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema...
Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha.
Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
Kwenye pitapita zangu insta nikakutaja na hii video, nmeona wengi sana wanamsifia, vipi Kuna anaemjua huyu mwamba?? Tupeane connection kama ni uhakika kama wanavyomsifu au vipi.
Na nmesikia Kuna mwamba MWINGINE anaitwa SOKWE, naskia naye ni fundi balaa
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga.
Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.