Majina yake kamili anaitwa Mikka Aleksanteri Kari jina maarufu Mika Mwamba.
Kiasili jamaa ni Mfinland.
Miikka aliwahi kufanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchini Tanzania. Wasanii hao ni: Dully Sykes, Inspector Haroun, Lady Jay Dee, Mad Ice, Chegge, Mandojo na Domo Kaya, Solid Ground Family...
Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990.
Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
Mzuka Wanajamvi!
Nakumbuka ilikuwa 2010 huyu Mwamba alivaa sare za Jeshi na kupiga picha na Mwamba Lema na alitekuwa mwamba Joshua Nassari kwenye mkutano wa Chadema.
Kesho yake picha zake zikawa kwenye magazeti na kupelekea msako na kukamatwa kiteto.
UPDATE:
KUMBE ALIHUKUMIWA NA KUFUNGWA...
msome huyu mwamba kwa ufupi afu useme kafeli wapi?
Mpare: Money Penny bwana kuna kisa nataka nikueleze, kuna dada anaitwa Vera Sidika, nilimtongozaga mwaka 2014 nikiwa kenya
Money Penny: aisee, ikawaje?
Mpare: nilikutanishwa nae club bwana na marafiki zangu, ila sina hamu
Money Penny...
Aloo dunia ina mengi!
Mwamba alianza kwa kunyanyua vyuma, mwili ukawa jumba na mtaani akawa anatisha. Vijana wakamuogopa na vichuchu vikampenda. Kazi alikuwa nayo nzuri tu, hivyo kila mchuchu alieingia chumbani kwake alihitaji aishi nae.
Anyway jamaa kwa vile umri umesogea, ikabidi ateue...
Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!
Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke...
Kumbe mabikra bado wapo?
Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko
Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa
Ni mji mzuri uliozungukwa na miamba. Wanapaita "Rock City". Hilo ndilo jiji la Mwanza.
Nakubali, ni jiji zuri, lakini pangeweza kuwa pazuri zaidi.
Kuna maeneo yaliyopangiliwa vizuri, kwa namna bora na ya kuvutia. Lakini kuna maeneo ambayo yanaashiria Mipango Miji walikuwa likizo pindi...
Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje
Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi
Lamama kokote ulipo ntakuita njoo.
NYUZI ZINGINE BY ME
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. Haijalishi...
1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko.
2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa.
3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
Leo jumapili safi nikiwa natafakari wiki inayofuata nikaingia mtandaoni kuokota mambo mbalimbali kushibisha ubongo nikakutana na hii ngoma ya mwamba anaitwa KING KAKA ngoma inaitwa BESTE YANGU ukisikiliza kwa makini hii ngoma jamaa ana zaidi ya uwezo wa kurap yaani ana uwezo wa kufanya nafsi...
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo.
Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col!
Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga...
Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo huenda usiyoyajua kuhusu 2Pac:
Jina lake kamili: Jina kamili la 2Pac ni Tupac Amaru Shakur. Alipewa jina hilo kutokana na jina la kiongozi wa uhuru wa Amerika Kusini, Tupac Amaru II.
Ujumbe wa kisiasa: 2Pac alikuwa msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki...
Wana wema,
Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake.
Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki...
Asubuhi mapema saa 1 ulizuka ugomvi mkubwa kati ya mume wa mtu na Malaya wake aliye mkodi kwa huduma ya ngono, ugomvi huu ulihusu malipo ya pesa baada ya huduma kutolewa vyema ipasavyo usiku mzima.
Ugomvi huo ulipamba Moto mpaka kufikia hatua ya kuleta mkusanyiko wa majirani na wananchi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.