Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya...
Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha.
Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo.
Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
Hivi karibuni tu kaachana na manzi yake ilikuwa kuzaizai hatari!,kwa Mbilinge alizofanyiwa ikabidi tumshauri tu aachane na manzi yake. Msela akaachana kwa uchozi wa mamba na kuapa kwa maneno mengi huku akiyatukana mapenzi na kulaani ile mbaya!.
Mwamba hakomi juzi si nimeketinae mara simu ikaita...
Baada ya kukumbuka lile tukio la kufukuzwa, japo sio ishu saaana nimeona niwasimulie na huyu mwamba sasa alietunyoosha mimi na dada angu na huu ndio ukawa mwisho wa outing. Yaani outing zikawa za moto hakuna alietaka kusikia mtoko tena.
Nicheke tu kwanza! Haya mambo yote yalikua ni harakati za...
Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee...
Leo ndugu zangu nitawapa mkasa uliotokea kwenye mapenzi katika kambi moja ya jeshi Mkoa WA pwani.Katika mahusiano ya jamaa mmoja ambaye alikuwa mjeshi jamaa tulizoea kila siku anapigiwa na mkewe sasa siku hiyo akakuta SMS za mapenzi Kwa mkewe ndio kisanga kikaanza hapo jamaa akaanzisha timbwili...
Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku...
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.
Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo...
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji...
Narudi zangu home baada ya harakati za hapa na pale za mtu mweusi, huku nikiwamind dereva na konda wake baada ya kutufaulisha Kwa kukata ruti,kisa eti trip hailipi kwakuwa hawakuwa na abiria WA kutosha, basi tukafualishwa kibwege na safari ikaendelea.
Na Mimi ndio mwana Jf pekee utanisikia...
☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa
Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.
Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima.
Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima.
Na hawajibu alichozungumza ila...
Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa.
Hana longo longo
Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama USSR (Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR). Ilikuwaje kuwaje mpaka akauokoa ulimwengu dhidi ya maafa...
Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae.
Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba.
Hawq jamaa walijua kutafuta magoli.
Waliujua mpira.
Habari wana JF,
Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi.
Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.