Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka...