Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose...
Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM,
Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee
Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi
Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa:
Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio nguvu kazi ya taifa, wanakosa ajira, licha ya ahadi nyingi za chama. Sioni juhudi madhubuti za CCM...
Heshima kwenu wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti Mheshimiwa Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Lissu atatakuwa kuhudhuria vikao vya Tawi na si vinginevyo.
Mapovu ruksa lakini ukweli utabakia ukweli Lissu hana nafasi ya kushinda.
Kampeni...
Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee...
Wakuu
Yericko Nyerere ameandika;
Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini.
Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada ya Umoja wa Ulaya. Katika miaka ya hivi karibuni, nguvu ya dunia ya kusini inayowakilishwa na nchi...
Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.
Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.
PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa.
Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha.
Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo
Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM.
Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea.
Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf.
Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu.
Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi.
Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7.
Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.