Habari ndugu zangu wa JamiiForums,
Natumaini wote mko salama na wenye afya njema. Leo natimiza mwaka mmoja tangu nilipojiunga na hii jamii adhimu ya wasomi na wachambuzi wa mambo mbalimbali. Ni mwaka ambao nimejifunza mengi, nimeongeza maarifa na pia kufurahia mijadala ya hapa.
Katika safari...
Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria.
Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni.
Hili limekaa upande mmoja maana wanachama wanapata shida mara nyingi kulipwa mafao yao.
Mara kikokotoo, mara subiri...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii CCM kinabaki kuwa chama tawala tangu tupate uhuru. Tumeishashuhudia vyama vingi kwa Afrika ambavyo...
Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
Itifaki imezingatiwa,
Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes,
Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili...
Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025.
Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana!
Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
Nimefurahi sana kuona huyu Mwanasheria na member wa chama chetu pendwa cha UWABATA akisimamia Ilani bila ya kuyumbishwa na Binti huyu.
Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo
Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu.
Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
adimu
awali
bei
business
digital
digital shopping mall
digital shopping points
duka
fursa
kidijitali
matumizi
mwanachama
opportunity
plans
prelaunch
thamani
ununuzi
Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU).
Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
UTANGULIZI.
Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi.
Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
Urusi ni taifa la kihuni sana, yaani hao Wagner wana wanachama kwenye kila nyanja hadi majenerali na wakuu jeshini wana uanachama humo, wana namba za usajiri, huyu jenerali mkuu jeshini alikua mmoja wapo wa wanachama wakuu wa hicho kikundi cha wahuni.....
Ndio maana Putin ameshindwa kuadhibu...
Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila ridhaa yake.
Hakimu wa Mahakama ya Makindye, Bwana Igga Adiru, amemuagiza bwana Allan Asinguza, ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.