Wakuu.
Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo
Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf...
Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 .
Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023
Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter
Mpaka sasa makundi ya haki za binadamu hayaelewi twitter chini ya mmiliki huyo mpya kama itaweza...
Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki gani? Je, ukitokea mgogoro wa nchi ya kiarabu na kiafrica kama ilivyo mgogoro wa bwawa la umeme la...
Na Bwanku M Bwanku.
Kama tunavyofahamu, Ijumaa hii Aprili Mosi 2022, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya Mkutano Mkuu wake Maalum pale Jijini Dodoma kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre ambao pamoja na mambo mengine utafanya marekebisho ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la...
DRC: Jumuiya ya Afrika Mashariki yakaribisha mgeni mpya baada ya kuwasili kwa DRC, anakuja na mazuri gani?
Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yana kila sababu ya kusherehekea, yakiikaribisha Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama mpya wakati viongozi wake...
“Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,”
Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini akaapa Kwa Mwenyenzi atotenda kinyume na Imani yake akasaliti wito aliopewa na Mwenyenzi MUNGU katika...
Taarifa kwa Umma:
Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008)
Kwa mamlaka yake...
Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha.
Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba hakunaga stress ukiwa mwana CCM.
Bidhaa zikipanda Bei kwako ni sawa tu, ukishinda na njaa pia ni sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.