mwanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA wadai kuzuiwa msibani kwa mwanachama wao, kufuatia maagizo kutoka juu

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose...
  2. T

    Pre GE2025 Bulaya: CCM hawajasema kama wananitaka, Sijaona CHADEMA ikinikataa kuwa mwanachama wao

    Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  3. Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

    Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
  4. A

    Kwanini siwezi kuwa mwanachama wa ccm

    1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa: Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio nguvu kazi ya taifa, wanakosa ajira, licha ya ahadi nyingi za chama. Sioni juhudi madhubuti za CCM...
  5. Pre GE2025 Baada ya Uchaguzi wa CHADEMA 21/01/2025 Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida

    Heshima kwenu wanajamvi, Baada ya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti Mheshimiwa Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida kabisa. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Lissu atatakuwa kuhudhuria vikao vya Tawi na si vinginevyo. Mapovu ruksa lakini ukweli utabakia ukweli Lissu hana nafasi ya kushinda. Kampeni...
  6. Kama haupo Dodoma kwenye vikao vya ccm weekend hii, na unajufanya ni mwanachama kindakikindaki, basi jua wewe ni mpiga kelele tu

    Wenye chama chao wapo Dodoma, wewe upo hapa unatupigia kelele tu, amka toka usingizini! Punguza uchawa…
  7. Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  8. M

    Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?

    Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema. Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi. Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU. Swali . Jee...
  9. LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  10. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  11. UWABATA- Mwanachama huyu ajipata kwenye hatari tumuokoe

    Sina mengi maana picha inaongea hapa chini. 👇😂
  12. L

    Ni matarajio ya pamoja ya dunia ya kusini kuona AU inakuwa mwanachama rasmi wa G20

    Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada ya Umoja wa Ulaya. Katika miaka ya hivi karibuni, nguvu ya dunia ya kusini inayowakilishwa na nchi...
  13. Pre GE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

    Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema. Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original. PIA SOMA - LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
  14. Mtoto wa mwanachama muanzilishi wa Hezbollah ataka Ayatollah Auawe!!

    Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa. Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha. Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
  15. G

    Kwa mara ya kwanza taifa mwanachama UN kumpiga Maarufuku Katibu wa UN , Alipaswa akemea uvamizi wa Iran kwa Israel, Hongera Israel no unafiki

    Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
  16. L

    Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM. Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
  17. Huduma ya maji yarejea Kijiji cha Kemakorere, andiko la Mwanachama wa JF lawafikia RUWASA

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea. Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
  18. Nawezaje kuwa mwanachama hai wa UVCCM?

    Nahitaji kuwa mwanachama hai wa UVCCM kuhudhuria mikutano na chaguzi mbalimbali zinazoendelea za UVCCM, Je nawezaje kujiunga mahali nilipo?
  19. Ninaomba kupata mwongozo wa kutembelea ofisi za JamiiForums, kama mwanachama wa JF.

    Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
  20. L

    Hivi kweli dawa ambazo pharmacy nauziwa sh8000, nikiwa mwanachama wa NHIF sizipati hospitalini?

    Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi. Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7. Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…