Wakuu habari za wakati huu. Ni matumaini yangu hamjambo, na wale wenye changamoto (ni sehemu ya maisha japo zinazidiana), basi mwenyezi Mungu awafanyie mlango.
Nimependa tu kuandika hiki kitu japo kinaweza kisiwe kwa ajili ya kila mtu lakini sio mbaya ukisoma kwakua it doesn't cost you a penny...
Akili ya mwanadamu
Kuna nadharia mbalimbali zinazotoa tafsiri ya akili. Leo nitazungumzia tafsiri ya akili kwa muktadha wa kitheolojia. Akili ni nini? Akili ni uwezo wa ki Mungu ambao umewekwa ndani ya mwanadamu, inatafsiriwa kama kitendea kazi cha mwanadamu. Mungu alipomuumba mtu alimuumba kwa...
Ndugu zangu watanganyika,
Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika,
Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika,
Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga mpina mbunge wa kisesa kwenu. Hakika japo hajakili alilo lifanya lilikuwa na mapungufu makubwa kwetu...
KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI?
Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa hilo kuwa rais wa 32 wa Jamhuri ya Haiti, kuanzia mwaka 1957 hadi mwaka 1971, anasemekana kuwa mchawi...
Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti
Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
Wizara ya Afya jaribu kujitafakari... tumeletwa Duniani ili tuijaze Dunia, haya masuala ya uzazi wa Mpango unatoka wapi?
Kila siku wanawake wanalalamika wanaume hawana mbegu za kiume kumbe wanawake nao wako na matatizo yao kuhusu haya mavidoge mara sindano.
Mwanamke anameza vidoge ili...
Wakuu mnakaribishwa kuuliza chochote kuhusiana na lishe na afya ya mwnadamu kwa ujumla.Ili kuelimishana na kuongeza maarifa lakini pia kujifunza njia salama za ulaji kuepuka matatizo ya kiafya.
Wakuu salamu zenu.
Nimekaa na kutafakari hali ya maisha yetu sisi binadamu nimeona yapo mithili ya maisha ya kuku bandani.
Kuku anafunguliwa asubuhi kutoka bandani hapo anapata "uhuru" wa kuvinjari na kujitafutia riziki, katika kipindi hicho kumswaga ili arudi bandani sio kazi ya kitoto, ni...
Kumekuwa na Maandiko kadhaa na mijadala kadhaaa kuhusiana na umuhimu wa ndoa na wengine wakisimamia katika kampeni Yao ya Kataa ndoa,ndoa ni utapeli na kadhalika.
ETUGRUL BEY nae ameona achangie kidogo katika Jambo hili, nianze Kwa kusema Kwanza wale ambao wanakataa ndoa hawakatai Bila...
Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi.
Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake.
Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq.
Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
Mbwa huyu kwa jina la Bryan amekuwa na matendo ya kustaajabisha huko uingereza toka waliokuwa wanafamilia wenza kufariki kwa ajali amekuwa akifika kwenye kaburi kwa miaka miwili mfululizo bila kuchoka na kupumzuka hapo kwa nusu saa na kuondoka zake, je katika ulimwengu wa Kiroho huwa tuna...
Biashara ni kitendo cha kubadilishana vitu.
Mfumo wa ajira ulikuja ili kupata watu wa kusaidia kazi watu wengine ambao wanafanya biashara fulani.😃😃😃😃
Kama sikosei mfumo ulianza kipindi cha zamani huko watu walipoanza kutawala wengine. Kunazuka wanadamu wajanja ambao wanawazidi wengine akili...
Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndugu yake.
Wengine hudiriki hata kujikana wao wenyewe kuwa hawawezi kuishi pasipo wapendwa wao waliofariki huchukua maamuzi magumu kwa kujiua wakiamini kuwa watakutana nao katika maisha baada ya kifo...
MSAADA WA MWANADAMU UNA KIKOMO
Je, kuna msaada wa milele?
-Ni kweli tumesaidiwa sana na watu na tunaendelea kusaidiwa. Ni kweli pia tumewasaidia sana watu na tunaendelea kuwasaidia. Lakini pamoja na hayo yote tunapaswa kutambua kuwa msaada wa mwanadamu una kikomo chake.
-Hakuna binadamu yoyote...
SOMO LA LEO
MAISHA ya mwanadamu yana UKOMO.
"Tumezaliwa" "Tunaishi" "Tutakufa"
Huu ndio ukweli halisi wa maisha yetu.
Neno la Mungu katika kitabu cha AYUBU 14:1-2 linasema
" Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Yeye huchanua kama...
ELIMU BORA ILENGE KUTIMIZA MAMBO MANNE KWA MWANADAMU.
Na PrMujuni
ELIMU BORA inahitajika sana na kila siku inaimbwa na wanaharakati wa kisiasa na kijamii. Leo nakuja na wazo kuwa ELIMU yoyote iliyo Bora inapaswa kutimiza malengo makuu manne kwa mwanadamu. Nitatumia msitari wa Biblia kufafanua...
Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS).
1. MAPENZI
2. PESA
3.CHAKULA
4. MZIKI
1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au...
Hapo chini ni picha za mmea uitwao muhaladari, wengine wanaita mdodoma. Kisayansi unaitwa panama berry tree. Picha ya kwanza imepigwa wakati wa usiku na nyingine wakati wa asubuhi. Kinachoonekana ni kwamba wakati wa usiku majani husinyaa na kufumba kabisa (kulala). Ikifika asubuhi tu unaanza...
Utangulizi
Maisha ya mwanadamu, yana sehemu kuu tatu:-
Kuzaliwa
Kuishi
Kufa
Sura 1: Kuzaliwa
Mtu anazaliwa pale panapokuwa na uhusiano wa kimapenzi, kati ya mwanaume na mwanamke.
Na uhusiano huo uleta ujauzito na baada ya miezi 9 mtoto uzaliwa.
Na tukio hili hutokea mara moja
Sura 2: Kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.