Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo.
Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka...
Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP).
Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu.
Badala ya kujifunza , hivi sasa awamu hii kila mtu asante Mama, yaani wanamshukuru hata kwa vitu walivyofanua wao.
Wanaokera zaidi...
Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu.
tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America...
Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho.
*******************
Yohana 1:1-5
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
NENO
Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
Matendo ya mwanadamu yamegawanyika katika makundi mawili nayo ni matendo ya Nuru (Good Deeds) na matendo ya Giza yani (Evil Deeds).
Evil Deeds - Actions that are intended to harm others and vice versa is true (Good Deeds).
Let's start,
👉By differentiate between Sin, Evil and mistake.
Tofauti...
Marehemu Idi Amin Dada....
1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu)
2. Alichukia Uonevu na Dharau
3. Aliwapenda sana Wananchi wake
4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza
5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake
6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo
7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake
Sasa wakati...
Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa.
Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
Mungu akamuumba punda na kumwambia, “Utakuwa punda na kubeba mizigo ya kila mtu na utaishi miaka 40.” Punda akasema, "Kubeba mizigo ni sawa, lakini miaka 40 ni mingi kwangu, nipe miaka 30 tu." Mungu alitimiza matakwa yake.
Mungu alimuumba mbwa na kumwambia, “Utakuwa mbwa na unachunga mali ya...
Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo.
Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!.
Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
READER DISCRETION IS ADVISED
Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti ajali za barabarani ili kuhakikisha usalama wa raia wake na kuepusha vifo vitokanavyo na ajali ni...
Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu
JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
1. Nyumba unayokaa kama unafuga Njiwa na ukiwa Unauguza Mgonjwa ndani ukiona Njiwa Wote wanaondoka anza kuweka Oda ya Jeneza kwa Mgonjwa wako kwani utake usitake atakufa tu.
2. Nyumba unayoishi kama unafuga Mbwa kuanzia Saa 5 Usiku na Saa 11 Alfajiri ukisikia wanabweka sana jua Wachawi...
Adolescence ni neno la kimombo ambalo humaanisha umri kati ya utoto na utu uzima. Inakadiliwa miaka kati ya 10 hadi 19.
Umri huu umeitwa majina mengi ikiwemo foolish age kwa maana ya umri wa ujinga.
Kiukweli neno hili ni mtego mkubwa ambao wanadamu wameingizwa bila kujua.
Vijana umri huu...
"Maisha yenyewe mafupi" Sio ajabu kujibiwa hivyo kila Ukileta thread za kuonyesha madhara ya vitu mbalimbali vinavyoharibu na kudhoofisha miili yetu. Tumekuwa watu wakujifariji sana Lakini pale yakikutokea yakukutokea ndo utakapoona umuhimu wa maisha na afya kwa ujumla. Kwa kifupi matokeo ya...
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .
Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .
Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.
Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
Habari za Leo wakuu,
Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.
Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?
Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.
Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.
Wakuu...
Wakuu habari.
Moja kwa Moja kwenye mada.
Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?
Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au...
Watu wengi leo tunaumia sana kwa sababu tunapingana na asili yetu "upekee" tulioumbiwa na Mungu.Hayupo Mwanadamu ambaye hana upekee wake unaoweza kumuweka katika nafasi ya kwanza kwa sababu hayupo mwingine mwenye nao.
Inamgharimu Mwanadamu nguvu nyingi mno kufanya jambo kama mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.