Habarini.
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi, 35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi...