mwanajeshi na siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwingine ajitokeza kusema kuwa Jeshi litawaunga mkono wananchi kwenye maandamano. Wataalamu, huyu ni mwanajeshi kweli?

    Wanabodi, Nimekutana na clip hii ya huyu kijana akiwa amevaa nguo za JKT akisema kuwa kama Jeshi lenyewe linaunga mkono maandamano na asijitokeze yoyote kuwaumiza wananchi kwenye maandamano hayo Sasa najua kuna wajuzi humu. Huyu ni mwanajeshi kweli au ni changa la macho Kama kweli huyu...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kutojihusisha na siasa ni pale wanapounga mkono vyama vya Upinzani? Mwanajeshi Mkufunzi kusema anakishukuru chama chake CCM ni sawa?

    Nimeona video inayomuonesha mkufunzi mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mwaka 2024, ambapo anasikika akikipongeza chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kile alichokiita “kazi nzuri,” na hata kumpongeza kiongozi wa chama hicho. Kauli kama hii mara chache...
Back
Top Bottom