mwanamke mwenye akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

    Mwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anne Makinda: Mpigieni kura Rais Samia, hao wengine hata mkiwapigia kura hawatashinda, kwanini upige kura ya kushindwa?

    Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake. Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake makini wenye akili hupenda mwanaume mwenye mipango mizuri ya fedha!

    Unaweza kushangaa ikiwa hufahamu hili, Ikiwa mwanamke atapenda ufujaji na matumizi yako mabovu ya fedha basi kuwa na hakika ya kuwa uko na mwanamke mjinga na malaya! Wanawake makini na wenye akili hupenda mwanaume mwenye matumizi thabiti ya fedha, mwenye mipango na maendeleo chanya! Mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…