PreGE2025 Anne Makinda: Mpigieni kura Rais Samia, hao wengine hata mkiwapigia kura hawatashinda, kwanini upige kura ya kushindwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Makinda amewataka wanawake na Watanzania kwa ujumla kumheshimu na kumuunga mkono Rais Samia, huku akisisitiza kuwa baadhi ya mijadala inayoibuka dhidi yake ni kwa sababu ya wivu kutoka mataifa jirani.

“Nawaombeni mkapige kura kwa Mama. Tujiulize tu, wanawake tuna kitu kingine zaidi ya Mama Samia? Hakuna mwanamke mwenye akili ajabu kama Mama Samia, sijawahi kuona. Hawa wenzetu majirani wanatuonea wivu,” amesema Makinda.

Aliongeza “Haya maneno na mijadala unayoyaona ni wivu tu… Sasa sisi tumfunike, tumpe heshima. Hao wengine hata mkiwapigia kura mbona hawatashinda… kwanini mpige kura ya kupoteza? nakwambieni kwa Rais, kwa wabunge na madiwani shauri yenu. Kwa Rais ukipiga kura nyingine yoyote umeshindwa, kwanini unapiga kura ya kushindwa? ”

Chanzo: Mwananchi
 
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Makinda amewataka wanawake na Watanzania kwa ujumla kumheshimu na kumuunga mkono Rais Samia, huku akisisitiza kuwa baadhi ya mijadala inayoibuka dhidi yake ni kwa sababu ya wivu kutoka mataifa jirani.

“Nawaombeni mkapige kura kwa Mama. Tujiulize tu, wanawake tuna kitu kingine zaidi ya Mama Samia? Hakuna mwanamke mwenye akili ajabu kama Mama Samia, sijawahi kuona. Hawa wenzetu majirani wanatuonea wivu,” amesema Makinda.

Aliongeza “Haya maneno na mijadala unayoyaona ni wivu tu… Sasa sisi tumfunike, tumpe heshima. Hao wengine hata mkiwapigia kura mbona hawatashinda… kwanini mpige kura ya kupoteza?”
Sijajua anazungumzia akili zipi sasa hapa
 
Safi ana akili mno, kama tumeshaizidi dunia sioni cha kujinyima kummiminia sifa
 
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

​
Kwa hiyo wanaomwona hana hizo sifa ndio wasio na akili wala maono? Hili nalo tusi.
 
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Makinda amewataka wanawake na Watanzania kwa ujumla kumheshimu na kumuunga mkono Rais Samia, huku akisisitiza kuwa baadhi ya mijadala inayoibuka dhidi yake ni kwa sababu ya wivu kutoka mataifa jirani.

“Nawaombeni mkapige kura kwa Mama. Tujiulize tu, wanawake tuna kitu kingine zaidi ya Mama Samia? Hakuna mwanamke mwenye akili ajabu kama Mama Samia, sijawahi kuona. Hawa wenzetu majirani wanatuonea wivu,” amesema Makinda.

Aliongeza “Haya maneno na mijadala unayoyaona ni wivu tu… Sasa sisi tumfunike, tumpe heshima. Hao wengine hata mkiwapigia kura mbona hawatashinda… kwanini mpige kura ya kupoteza?”
View attachment 3381408
Chanzo: Mwananchi​
Kumbe 60 + milion people wenye akili ni mmoja tu!
 
Ndio ukweli, Samia ana uwezo mkubwa sana kichwani. Hongera spika wetu mstaafu kulitambua hilo. Miaka 5 ijayo atatufikisha mbali sana sana. OKTOBA TUNATIKI SAMIA
 
wanawake wengine Tanzania hawana akili na maono kama yeye.
 
Kwa wanawake ninaowasikiliza hapa nchini ni Prof. TIBAIJUKA pekee, haya mengine siyaelewagi hata😃
Huyo ni another level mjomba ...majukwaa ya kijinga huwez kumkuta Wala kumsikia katu...
Huyo spika atakua katafutwa aje kusifu na kuabudu...
 
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Makinda amewataka wanawake na Watanzania kwa ujumla kumheshimu na kumuunga mkono Rais Samia, huku akisisitiza kuwa baadhi ya mijadala inayoibuka dhidi yake ni kwa sababu ya wivu kutoka mataifa jirani.

“Nawaombeni mkapige kura kwa Mama. Tujiulize tu, wanawake tuna kitu kingine zaidi ya Mama Samia? Hakuna mwanamke mwenye akili ajabu kama Mama Samia, sijawahi kuona. Hawa wenzetu majirani wanatuonea wivu,” amesema Makinda.

Aliongeza “Haya maneno na mijadala unayoyaona ni wivu tu… Sasa sisi tumfunike, tumpe heshima. Hao wengine hata mkiwapigia kura mbona hawatashinda… kwanini mpige kura ya kupoteza?”
Chanzo: Mwananchi
Mama ni muda umefika aachane na hilo wigi sasa umri ushaenda

No reform No Election
 
Ukiona Mtanzania wa miaka 18 mpaka 40 anakuwa chawa, angalau unaweza kuelewa kuwa ni umri na kundi hilo ni "too ambitious".

Cha kushangaza ni kwa sisi tuliopo kwenye "special groups" wa miaka 55 na kuendelea, kujitoa akili na kuwa chawa.

Unaposema "mwanamkee wa kipekee" maana yake wengine ambao hawajapata hiyo nafasi hawana maono!

CCM acheni kuwatoa wastaafu kule wamepumzika kisa tu kutaka "endorsement".
Mnawatumia na kuwadhalilisha na kuwasahau mpaka uchaguzi mwingine.
 
Ndio ukweli, Samia ana uwezo mkubwa sana kichwani. Hongera spika wetu mstaafu kulitambua hilo. Miaka 5 ijayo atatufikisha mbali sana sana. OKTOBA TUNATIKI SAMIA
Ukiacha unafki na uchawa kwasabb ya njaa, sa100 ana akili ndogo mnooo....ktk marais wooote tuliopata kuwa nao yeye ndo kilazaa zaidi!.
Iko wazi kabisa, hata matokeo yake ya form 4 alipata zero, hiyo pekee inaakisi uwezo wake wa akili ukoje!!.
 
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Makinda amewataka wanawake na Watanzania kwa ujumla kumheshimu na kumuunga mkono Rais Samia, huku akisisitiza kuwa baadhi ya mijadala inayoibuka dhidi yake ni kwa sababu ya wivu kutoka mataifa jirani.

“Nawaombeni mkapige kura kwa Mama. Tujiulize tu, wanawake tuna kitu kingine zaidi ya Mama Samia? Hakuna mwanamke mwenye akili ajabu kama Mama Samia, sijawahi kuona. Hawa wenzetu majirani wanatuonea wivu,” amesema Makinda.

Aliongeza “Haya maneno na mijadala unayoyaona ni wivu tu… Sasa sisi tumfunike, tumpe heshima. Hao wengine hata mkiwapigia kura mbona hawatashinda… kwanini mpige kura ya kupoteza?”
Chanzo: Mwananchi
Kuwa na akili wala maono si tatizo kabisa... Swali ni je akili zipi na maono yapi? Yenye faida gani?
 
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake.

Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Makinda amewataka wanawake na Watanzania kwa ujumla kumheshimu na kumuunga mkono Rais Samia, huku akisisitiza kuwa baadhi ya mijadala inayoibuka dhidi yake ni kwa sababu ya wivu kutoka mataifa jirani.

“Nawaombeni mkapige kura kwa Mama. Tujiulize tu, wanawake tuna kitu kingine zaidi ya Mama Samia? Hakuna mwanamke mwenye akili ajabu kama Mama Samia, sijawahi kuona. Hawa wenzetu majirani wanatuonea wivu,” amesema Makinda.

Aliongeza “Haya maneno na mijadala unayoyaona ni wivu tu… Sasa sisi tumfunike, tumpe heshima. Hao wengine hata mkiwapigia kura mbona hawatashinda… kwanini mpige kura ya kupoteza?”
Chanzo: Mwananchi
umenena vema mama, :KasugaYeah:
wivu wao hautazuia ushindi wa kishhindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom