Hebu tufafanulieni vizuri, huo uwezo mnaousema ni upi, maana kuna categories. Usisahau pia miaka 4 deni limefika 107 T na bado tuna shule kama hizi.Ndio ukweli, Samia ana uwezo mkubwa sana kichwani. Hongera spika wetu mstaafu kulitambua hilo. Miaka 5 ijayo atatufikisha mbali sana sana. OKTOBA TUNATIKI SAMIA
Sasa mtu kama huyu sijui analenga kuachieve nini?Anyway tumekuwa wa hiviUchawa kila Kona.
Hapo kishakunja posho ndefu sura tu inaonesha wazi hamaanishi analolisemaHuyo ni another level mjomba ...majukwaa ya kijinga huwez kumkuta Wala kumsikia katu...
Huyo spika atakua katafutwa aje kusifu na kuabudu...