Hili neno mwanachi limekuwa linanipa shida kidogo.
Tunaomba tusaidiane, vigezo vipi vinavyotumika kama sifa za kuwa Mwananchi.
Je, hivi mtu akiwa; mwalimu, askari, daktari, mchungaji, mwanafunzi, muhasibu, mwanasiasa, mcheza mpira, mwanamziki au mfanyabiashara , je mtu huyu anakoma kuwa...