Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Mwalimu Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam kutoka Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) imeendelea Februari 17, 2025, ambapo shahidi mmoja kati ya sita upande wa Jamhuri amekamilisha...
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake...
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake mimi ndo niliyebeba kwa 100% baada ya boya mmoja kukimbia majukumu punde tu alipomwaga tui lake kwa...
Habari za leo wana Jf. Naombeni msaada wa mawazo ya kumfanya mtoto wangu apende kula.
Mtoto wangu ni wakike anaumri wa miaka 5 sasa. Afya yake sio mbaya ila tatizo lake HAPENDI KULA.
Kila siku lazima nimshikie fimbo wakati wa kula. Nikulazimishana ni vilio mwanzo mwisho mpaka chakula kinaisha...
Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo.
Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ...
Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta...
Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,,
Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka...
Heshima Kwenu,
Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba.
SIFA ZA SHULE
1. Shule ni lazima iwe boarding.
2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka.
3. Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu...
Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi.
Binti ya wangu...
WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA
1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke.
2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke mzuri kwako, wengine wanaweza kuwa mama mzuri kwa watoto wako...
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
Taifa la kesho linabalaa sana.
MWANANGU ! UKIFIKA UGENINI ZINGATIA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE.
Kila mtu kwa sehemu ni lazima kawahi kuwa mgeni au atakuwa mgeni tu siku moja,kuwa mgeni haiepukiki kila mtu ni lazima atapitia, yawezekana ni ajira mpya au kutoka nyumbani kwenda mkoani kutafuta maisha.
Wengi tukifika ugenini huwa...
Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu.
Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo.
Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
Kuna wanawake makatili sana duniani, mwenzenu naandika uzi huu kwa uchungu sana, leo ilikuwa tarehe ambayo mwanangu angetimiza umri wa mwaka mmoja.
Kabla ya kuendelea mbele naomba niwajulishe kuwa rambirambi zote napokea PM.
Iko hivi, nilimtumia demu nauli ya kuja geto na akala nauli. Laiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.