Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida.
Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula...
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani anatarajia kuendelea darada la tano maana amemaliza kufanya Necta juzi tu hapa.
Kwa sasa dogo yupo tu...
Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku.
naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote.
Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli.
Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa.
Ukata...
Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo).
Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa na hali ya kukohoa mara kwa mara licha ya kuwa huwa tunampa dawa za kifua na kikohozi.
Nimejaribu...
Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar
Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
Niliwahi kuleta hapa hii maada takribani miezi miwili iliyopita ila mnisamehe bure nilisahahu kuleta mrejesho
https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-wanamsingizia-kiuonevu-mwanangu-je-ni-hatua-gani-nichukue-kama-mzazi.1890116/
kiufupi niliitwa shuleni kama mzazi mimi pamoja na wazazi...
Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana.
Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake.
Sasa pale shuleni kwao...
Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu!
Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII.
Je, jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto au mwalimu ndo hajielewi?
Habar wadau !!
Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu
Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku
Nifanyaje
NOTE sitak purchase plan...
Kutoka Ukurasa wa Instagram wa Idd Makengo
Naomba unisaidie kama hiki ni kitu kibaya kwa mwanangu kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mwanangu wakiume alinyonya mpaka alipofikisha miaka minne ndiyo nikamuachisha, mimi na mwanangu tuko karibu sana. Namlea mwenywe kwani Baba yake tulishaachana na...
Wakuu haya mambo ya DNA najua yatakuwa yamewagusa wanaume wengi!
Nina mwanangu mdogo ndiyo atauanza mwaka wa nne hapa duniani muda sio mrefu ni wakike.
Nina uhakika ni wakwangu kwasababu tunafanana kwa kiasi kikubwa.
Sikuwepo nyumbani kwa takribani siku 6. Nilitoka kikazi kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.