mwanangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nawaalika nyote katika Kipaimara cha mwanangu kwa Sharti moja tu, uwe umekula utokako

    Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu. Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa kwenda mbele kwa wageni waalikwa huku bia moja mkiwa mnashea watu watatu. Kuhusu nyimbo ambazo...
  2. ESCORT 1

    Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2. Benjamin Mkapa Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
  3. BARD AI

    Ni rahisi kwa Mzazi wa Kiafrika kukutukana kuliko kukwambia 'Nakupenda Mwanangu'

    Malezi ya Kiafrika yana changamoto sana, licha ya kuwa kila mzazi ana njia zake za kumlea mtoto lakini kwa Afrika huku nyingi zinafanana, ikiwemo kuchapa, kufokea, kutukana, kusemwa vibaya na mengine mengi. Hali imesababisha madhara makubwa kwa watoto wengi na kuharibu tabia kiasi cha kuwa...
  4. KING MIDAS

    Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

    Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu. Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za migodini huko kanda ya ziwa. Nilizunguka Geita, Kahama, Tarime, na sehemu mbalimbali zenye uchimbaji wa...
  5. S

    SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
  6. Mabula marko

    SoC03 Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi

    Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi Utangulizi Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda changamoto zote unakutana nazo katika maisha basi nasi kama taifa la Tanzania , nchi na wananchi wake hatuna...
  7. B

    Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  8. R

    Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

    Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda. Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa...
  9. Mama Edina

    Edina mwanangu, uzuri wako ni wa babaako. Usikosee kuchagua mume

    Habarini Mwanangu ni mrembo Sana hata kuliko Mimi mamaako Umechagua baba wa wanao mzuri sana ni tatizo na ukichagua mbaya Sana ni tatizo pia. Uwe una balance. Edina mwanangu uzuri wako ni kwa sababu nilijua kumchgua baba ako. Usikosee kuchagua mume. Aliwahi kusema jackline kwenye Uzi wake...
  10. Makonde plateu

    Nimemkumbuka mwanangu goodzilla!

    Unjani sabuwona Wakuu leo jumapili yangu imeenda poa sana mamilioni yanaendelea kutililika tu sijui nyie majobless wenzangu kikao cha harusi yangu kinaenda vizuri sana muda si mrefu nitawatangazia lini na wapi harusi itapofanyika. Leo wakati nikiwa kwenye Gari nimemkumbuka mwanngu godzilla...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nisaidie mwanangu, muulize mama yako, kwanini ananinyima unyumba?

    Ugomvi wa baba na mama umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Nipo kijijini kwa mapumziko ya likizo ya siku 28. Hali hii imekuwa ikinikera sana hivyo nikaona kwasababu mimi ni mtu mzima nikae chini na Mzee Wangu tuyaongee, kwani shida ni nini? Basi, kwa kuwa Mzee Wangu ni mtu wa kupenda maji...
  12. GENTAMYCINE

    Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  13. Dr Yesaaya

    Barua kwa mwanangu - Tanzania

    Anaandika MTANGANYIKA - Rais wa TEGETA Empire - 0752591744/0682080069. Barua Kwa Mwanangu MTANGANYIKA BARA, S.L.P 1961, Mbinguni. 12/ 09/ 2022. MTANZANIA BARA VISIWANI, S.L.P 1964, DODOMA, UNGUJA K.K Malaika Mkuu Gabriel Mawinguni JUU. Kwako mwanangu nikupendae sana. Hujambo...
  14. C

    SoC02 Urithi wa Mwanangu

    Kijana wangu Sasa umekuwa si mtoto tena, umeingia umri wa kuyajenga, umri wa majukumu, natamani ningekufundisha haya ana Kwa ana ila muda Sio Rafiki hivyo nimekuandikia walaka huu utakaokusaidia katika Safari Yako kama ukizingatia Lazima utafanikiwa.Hekima na Busara zangu zitakupa muongozo na...
  15. Etugrul Bey

    Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

    Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani hapa Kabla ya kukutana na mke wangu nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi....lkn mahusiano...
  16. Stroke

    Jina la mwanangu limezua vita ya kifamilia

    Wakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine. Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake. Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua...
  17. D

    Naomba ushauri kuhusu mwanangu

    Bila shaka Wote Mpo salama. Naomba ushauri wenu, Mwanangu kwa sasa ana miaka mitatu na nusu ila nimeamua nisimpeleke shule hizi za kawaida kusoma Darasa la kwanza Hadi la Saba na kuendelea. Nimeona ikiwezekana nimpeleke akasomee ufundi moja kwa moja Kwa vitu ambavyo ataweza kuvifanya hata...
  18. Codeboy Breezy

    Simulizi: Mimi na Mwanangu Juu ya Kaburi la Mke Wangu

    Mtunzi: Iddi Makengo BABA JOAN; MIMI NA MWANANGU JUU YA KABURI LA MKE WANGU!—SEHEMU YA KWANZA “Baba kwani na Mimi ni mchawi kama Mama?” Joan aliniuliza tena, wakati huo tulikua tunaweka mchanga juu ya jeneza la mke wangu. “Hapana mwanangu, wewe si mchawi, hata Mama yako hakuwa mchawi.”...
  19. VUTA-NKUVUTE

    Mwanangu Makonda, tulia kama tulivyotulia... Vumilia kama tulivyovumilia

    Kimbelembele changu kiliwahi kuniponza. Niliwahi kwenda ofisini kwa Paul Makonda, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. Mazungumzo yenyewe yalitakiwa na yeye mwenyewe katika kujipanga na kujidai kwake kichama na kiserikali. Katika timu iliyokwenda ofisini kwake siku...
  20. Majan

    Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

    Nibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia? Akasema kidogo nikweli alikua anatembea kama anavuta mguu kwa mbali sana mamaake akamuangalia miguu ipo sawa haina uvimbe wala nini...
Back
Top Bottom