Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao?
Taifa International Online School kwa...
Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama.
Je, wewe kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?
Wazazi na walezi lazima ifike kipindi muache kuangalia watoto wenu wamekuwa wangapi katika mitihani yao bali mnatakiwa kuangalia watoto wenu wamepata daraja gani katika matokeo yao.
Tabia ya kuangalia mtoto ameshika nafasi ya ngapi darasani imekuwa endelevu kwa miaka mingi sasa wazazi wengi...
Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni...
Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.
Wamevaa tishert zenye rangi za
kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.
Wapo wengi tu...
Na Jerome Mmassy,Arusha
Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...
Dar es Salaam. Mwanzo wa mwaka unapokaribia wazazi wengi huanza kutafuta shule bora kwa ajili ya watoto wao kujiunga ili wajiendeleze kielimu.
Wakati huu ndio ambao wazazi hulazimika kuwapeleka watoto katika shule tofauti kufanya mitihani ya kujiunga, hasa wale wa kidato cha kwanza.
Hapa...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
Mambo yamebadilika.dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana na sisi kama walezi au wazazi tunapaswa kuwa na mitazamo tofauti kwa watoto wetu juu ya ajira.
Yafuatayo tunapaswa kufanya kwa kipindi hiki ili kuwajenga watoto wetu kuepuka janga la wasiokuwa na ajira baadaye:
(1)...
Jaribu kutengenezea mazingira yenye utulivu ili aweze kuzingatia kazi aliyopewa. Televisheni, Muziki, Kelele na Simu za rununu ni vizuizi vikubwa kwa Mtoto kuwa makini. Unapoona wanasoma au ni vema TV na Simu zikawa mbali nao au kuzimwa kabisa.
Mtafutie michezo itakayomsaidia kuboresha kiwango...
Watoto katika hatua zao za ukuaji na kujifunza wanakuwa na mambo flani flani ya kufurahisha sana yaani mwanao anaweza kukuvunja mbavu balaa.
Mfano
1. Mwanangu (1.5years) anaweza kuwa anatazama TV akisikia unaongea na simu au umeweka music kwenye simu anakimbia kuja kuangalia simu hata kama TV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.