mwanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chinga One

    TANZIA Director Nisher afariki dunia

    Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr...
  2. Eli Cohen

    Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

    I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu. Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo? Karibuni.
  3. GoldDhahabu

    Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
  4. LA7

    Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  5. LA7

    Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi 1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni, 2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi, 3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake, 4. Mchana ukimwambia alale...
  6. Illuminata Rodgers

    Sababu mbalimbali zinazopelekea mama kushauriwa kumnyonyesha mtoto kwa miaka miwili

    Habari, Naomba kujua sababu za kushauriwa(kitaalamu) kumnyonyesha mtoto hadi umri wa miaka 2. Asanteni. ===== Sababu nyingi za ushauri huu ni za kitaalamu zilizofanyiwa tafiti kwa kulinganisha watoto walionyonya kwa muda mrefu na walionyonya muda mfupi au kutonyonya kabisa. 1. Uwepo wa...
  7. Intelligent businessman

    Ni tabia zako zipi ambazo mwanao akirithi, zinaweza kumsaidia au kumuathiri kwenye maisha yake?

    Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika. Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au kuwaangamiza katika maisha yao hapa duniani.
  8. D

    Mwanao akimaliza form 4 mpeleke hata veta akapate ujuzi

    Kwema, Sisi vijana tusio na ujuzi zaidi ya kile tulichosomea ni tabu sana huku mtaani. Mtu unamaliza chuo bila ujuzi wa ziada wa kukusaidia kitaa aloo ndo maana tunasota sana. Wazazi msiwatumie watoto wenu kwenye shughuli zenu za kukuza kipato chenu, walau hata muwapeleke mahali kama veta...
  9. B

    Computer4Sale Mpatie mwanao laptop za kisasa za watoto ili zimsaidie katika masomo yake

    Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru. UWEZO WAKE: √ Zinatumia mfumo wa Android √ Ni Touch screen √ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7 √ Masomo ya sekondari O-level √...
  10. P

    KAMA MWANAO AMEENDA JKT MUDA HUU MFATILIE KAMA KAINGIA AU LA

    Naomba kutoa taarifa ya wwzalendo form six waliochelewa kuripoti kambini ,wanarudishwa .Hivyo kama mzazi na mlezi fatilia mwanao kama ameingia au la ,kwaajili ya usalama wake. Nawasilisha
  11. DR HAYA LAND

    Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
  12. Expensive life

    Ni Tabia gani unazo na ungependa Watoto wako warithi kutoka kwako?

    Tukiacha na mali ulizonazo, ni tabia gani ambazo unazo ungependa wanao warithi kutoka kwako? Ni tabia gani ambayo unayo unaisi wanao wakiwa nayo itawasaidia sana kwenye maisha yao? Mimi kwa upande wangu ningependa warithi, (UTU) hii kitu kwa upande wangu ninahisi ninayo sana vingine waachane...
  13. Jaji Mfawidhi

    Mkumbushe mwanao kabla ya 2024

    * 1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake. 2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake. 3. Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa

    Kwema Wakuu! Leo sina mbambamba, short and clear sitaki kuchosha nguvu kazi ya taifa nisijeitwa mhujumu uchumi. Siku hizi wala usijitese kusomesha Watoto wako. Somesha Kwa ku-relax kulingana na uwezo wako. Sio uingie madeni kisa kusomesha. Huo ni ushamba na matumizi Mabaya ya Pesa na Akili...
  15. Iziwari

    Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  16. B

    Mchawi mpe mwanao akulele

    Mchawi mpe mwanao akulele, ndivyo unaweza kusema baada ya Rais wa Congo , Felix Tshesekedi, kumteua aliewahi kuwa kiongozi wa waasi bwana Jean Pierre Bemba kuwa waziri wa ulinzi.Hii tafsiri yake ni kuwa "mchawi mpe mwanao akulele". Au ndio tuseme Tsheseefi ameanza kufuata nyayo za Tanzania za...
  17. Black Butterfly

    Mzazi zungumza na mwanao kila mara, dunia imeharibika hii

    Wakuu, nimewaza sana kuhusu malezi ya watoto leo. Wazazi tunapaswa kujua mabadiliko ya tabia za watoto yanategemea zaidi ukaribu walionao kwa Mzazi au Mlezi wao na kwa kiasi gani Wazazi wanazungumza kuhusu makuzi, fursa, hatari zilizo mbele yao na jinsi ya kuzikabili au kuziepuka. Watoto wengi...
  18. S

    Mzazi usibomoe ndoa ya mwanao

    Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake. Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo...
  19. Nyendo

    Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
  20. B

    Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

    Hello wanajukwaa, Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!? Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu! Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo...
Back
Top Bottom