Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!?
Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha š¤£
Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha š¤£
How?Huwa simsaidii maana ni illegal.
Maths. Labda na English kwa primaryKwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!?
Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha š¤£
Mi wa kwangu nitawafundisha primary hadi level ya chuo kikuu I know allKwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!?
Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha š¤£
Kipanga au sio.....Hamna somo litanishinda primary labda afike form 1.
Aaaah sana tuuKipanga au sio.....
Home work inampimama mwanfunzi peke yake na haimpimi mtoto na mzazi wake.How?
Yeah. I knowHome work inampimama mwanfunzi peke yake na haimpimi mtoto na mzazi wake.
Huyu tusipende kumtumia sana. Mpk iwe kukwama kweli kweliAshukuriwe google na chatgpt la sivo kunachimbika!