Hivi mzazi ukiwa una uwezo unaweza kuruhusu mwanao ajiunge na kazi za majeshi ?

Jeshi km JWTZ au JKT siyo mbaya unamruhusu akawe mzalendo wa nchi yake. Lakini kama Jeshi la Police linalotumwa kupiga wahumini wa dini wanao Sali, Jeshi la Polic linalopiga watu virungu wanao enda mahakamani kusikiliza kesi, kwakweli mimi siwezi kumruhusu mwanangu ajiunge na jeshi hilo maana ni kumtafutia laana bure mtoto.
 
Naomba tujadili hii hoja.

All I know people join in military because had no better option in life .

Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
Ila sio polisi ni ujinga kabisaa
 
Kuna wale wanajeshi walifia Congo je hao wanahesabikaje ?

Vita na maslahi ya wanasiasa unaenda kuyapigania wewe hapo ?.
 
Ukiwa na uwezo huwezi kuruhusu mtoto wako aajiriwe popote ukiona umeruhusu aajiriwe na unajihisi una pesa basi ujue wewe hauna pesa ila ni maskini mwenye afadhali
 
ukiwa na pesa mtoto anatakiwa asimamie miradi ya familia kama akina Mo na Bakhressa, mambo ya kuajiriwa haya tupa kule, watu wanauana kisa kung'ang'ania vyeo huko

Ukiwa na pesa sehemu nzuri ya mwanao kukaaa salama ni kusimamia na kuendeleza ulichokianzisha
 
Jeshi km JWTZ au JKT siyo mbaya unamruhusu akawe mzalendo wa nchi yake. Lakini kama Jeshi la Police linalotumwa kupiga wahumini wa dini wanao Sali, Jeshi la Polic linalopiga watu virungu wanao enda mahakamani kusikiliza kesi, kwakweli mimi siwezi kumruhusu mwanangu ajiunge na jeshi hilo maana ni kumtafutia laana bure mtoto.
Acha ujinga jeshi la police Lina maana kubwa sana kwenye nchi yeyote ile acha kuandika Kwa kufuata mkumbo na kufurahisha Wanajukwaa
 
Acha ujinga jeshi la police Lina maana kubwa sana kwenye nchi yeyote ile acha kuandika Kwa kufuata mkumbo na kufurahisha Wanajukw
Leta hoja yako siyo kukimbilia kutukana. Siku zote mtu anae kimbilia matusi badala ya kujibu hoja kwanza. akili yake huwa haina tofauti na nyuki. Mtu huyo akili yake haiko kichwani bali makalion kama Nyuki anavyo shambolia mtu kwa kutumia kiuno.
 
when you fu*ck with persians, that's what you get
 
Naomba tujadili hii hoja.

All I know people join in military because had no better option in life .

Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
Kuna baadhi ya koo ngumi na mapigano ni fahari kwao
 
Kazi Yako ni kulea na kusomesha watoto !hatma ya maisha Yao ipo kwa Mungu aliowaumba na wao wenyewe!wewe utashauri tu lakini hutokua na maamuzi yote!jeshi anaweza jiunga hata baada ya kumaliza masomo yake!
 
Naomba tujadili hii hoja.

All I know people join in military because had no better option in life .

Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
Ndugu suala sio uwezo, bali utimamu wa akili na kihisia...walio timamu watawalea na kuwashauri watoto wao kuepuka kazi za majeshi
 
Leta hoja yako siyo kukimbilia kutukana. Siku zote mtu anae kimbilia matusi badala ya kujibu hoja kwanza. akili yake huwa haina tofauti na nyuki. Mtu huyo akili yake haiko kichwani bali makalion kama Nyuki anavyo shambolia mtu kwa kutumia kiuno.
Tusi liko wapi hapo we kenge,
Hiyo simu yako ikiibiwa tu unaenda kulialia polisi ,ndezi wee
 
Back
Top Bottom