Na Jerome Mmassy,Arusha
Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...