mwanasheria

  1. S

    Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  2. M

    Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

    Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu. Anasema mambo yafuatayo 1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa 2. Pili...
  3. S

    Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  4. M

    Familia zina siri kubwa, mwanasheria msibani: Mwanasheria kazua gunzo msibani akisoma mirathi, watu tulishangaa sana

    Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana. Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja. Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua...
  5. William Mshumbusi

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  6. J

    SoC03 Shule ya Sheria Changamoto

    Shule ya sheria ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa mafunzo ya kitaalamu kuhusu sheria na kuwapa wanafunzi stadi na maarifa ya kuwa wataalamu wa sheria. Shule za sheria zinatengeneza wanasheria wenye ujuzi ambao wanaweza kufanya kazi katika mazingira ya kitaalamu Kama vile mahakama,uchumi Ww...
  7. JanguKamaJangu

    Marekani: Mwanasheria asema Trump hatafika Mahakamani akiwa amefungwa pingu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023. Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
  8. K

    Tunaomba Wanasheria wa kututetea wananchi wa Kata ya Nyatwali wanaohamishwa kwa malipo kiduchu

    Serikali imeamua kuwahamisha wananchi wa Vijiji vya Kata ya Nyatwali ili kuongeza ukubwa Hifadhi ya Wanyama - Serengeti. Wakati wa uhai wa Mhe. Magufuli pendekezo hili alilikataa kata kata na sisi wananchi tulifurahi na kumshukuru Mungu. Ilipoingia utawala wa Awamu ya Sita jambo hilil...
  9. I

    Mwanasheria anahitajika: Nataka kuwashitaki CRDB Morogoro kwa kuifunga akaunti yangu ikiwa na hela

    Mrejeasho. Hawa wapuuzi wameifungua lisaa moja baada ya hii post. Tunasafari ndefu kama Watanzia kwa hizi taasisi zetu ambazo full admns ni Watanzania wenyewe. Hatuko committed kwa kazi zetu, huduma zetu ni mbovu mno and no one cares. Habari wakuu, Naomba kama wewe ni mwansheria ama una...
  10. JanguKamaJangu

    Manchester City yamchukua Mwanasheria anayelipwa Milioni 14 kwa saa ili awatetee

    Imechukua uamuzi wa kumpa kazi Mwanasheria Lord Pannick ili awatetee katika kesi yao inayoendelea kuhusu uvunjaji wa sheria za fedha katika Premier League. Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi hiyo baada ya kudaiwa imefanya makosa ya kukiuka sheria za fedha mara...
  11. IamBrianLeeSnr

    Mwanasiasa wa upinzani, Mwanasheria nguli, anatarajiwa kuwasili nchini. Hivi ni kweli Tundu Lissu bado ana ushawishi?

    Licha ya kuwa nje ya Tanzania kwa miaka mitano na ushei, ushawishi wake katika siasa za upinzani bado ungalipo. Kwa lugha nyingine ni kusema; makovu yake ya kisiasa hayajaondosha mvuto wake wa kisiasa mbele ya wafuasi wa chama chake. Tundu Lissu alisifika kwa ukosoaji dhidi ya serikali ya...
  12. Lord denning

    Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
  13. M

    Feleshi, tutajie Mkataba wa Serikali iliyosaini bila ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa

    Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG...
  14. BARD AI

    Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  15. BARD AI

    Kenya 2022 Mwanasheria Mkuu apinga madai ya Chebukati kushinikizwa kubadili Matokeo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule. Mwanasheria Mkuu pia...
  16. BARD AI

    Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
  17. B

    Ijue tofauti ya Wakili na Mwanasheria

    IJUE TOFAUTI YA WAKILI NA MWANASHERIA. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Kila Wakili ni Mwanasheria , lakini si kila Mwanasheria ni Wakili. Wakili ni zaidi ya Mwanasheria. Ili uwe Wakili unaanza kuwa Mwasheria. Mwanasheria ni mtu yeyote aliyesoma kozi ya sheria katika chuo...
  18. B

    Natafuta mwanasheria aliye Moshi Mjini

    Urgent: Natafuta mwanasheria aliepo moshi mjini, karibu inbox ila uwe unajua kazi yako na gharama ndogo na nafuu kwa Mtanzania asie na pesa. Nawasilisha, bloggerboy
  19. T

    Tundu Lissu ni Mwanasheria mahili sana ila sio kiongozi wala mwanasiasa mzuri

    Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake. Mara zote...
  20. M

    Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Back
Top Bottom