Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huo unaanza Novemba 3
Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika.
Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
Kuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi.
Baadae mke wa marehemu alimuona mkuu wa mkoa,na upelelezi ukafanyika na maelezo yakachukuliwa,na kesi ilikuwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
Kesi ilifunguliwa mahakama kuu kukataa wakurugenzi wa halmashauri ambao ni wateule wa Rais na baadhi yao wakiwa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu. Mahakama kuu iliona kuwa hawana sifa ya kuwa wasimamizi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikata rufaa kwa madai kuwa wanakula kiapo, hivyo...
Kwa asiyekuwa mweledi, Bwana Humphrey Polepole ni mpigadebe mzuri, ni mpambaji mjuzi na dalali anayeweza kumuuzia mtu jaa [jalala] kwa jina la kasri ya mtindo wa Mediterranean. Wazanzibari tumemsikia katibu huyo wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anavyonadi kwamba wanakusudia...
29 Agosti 2020
Mwanasheria Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aweka hadharani kinachoendelea Pemba.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban, ambaye anasimamia mchakato wa kuwarejesha wagombea wa chama hicho walioenguliwa, anazungumzia hapa vitendo vya kukiuka sheria...
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.
Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini.
Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi
Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa...
Gazeti la "theafricareport"limechapisha habari(0nline) kuhusu mahojiano waliyofanya na Tundu Lissu, ambapo Lissu kaongea mambo kadhaa kuhusu utawala huu wa awamu ya tano na azima yake ya kurudi nyumbani.
Gazeti hilo pia linaonekana kufanya mahojiano na mwanasheria wa Tundu Lissu na yafuatayo ni...
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban ametolea ufafanuzi juu ya Msajili wa Vyama kufuta usajili wa chama.Kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya.
Ufafanuzi: "Kifungu cha 19(3) cha sheria ya Vyama vya Siasa inasema mamlaka ya msajili kufuta usajili wa chama cha siasa hayawezi...
Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia.
Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi
Wanasheria...
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU!
2/ Kwa kusema...
Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG)
Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho.
Maendeleo hayana vyama!
Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.
Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.
Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.
Demu anamjua...
Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.
Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao.
Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.