Kuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi.
Baadae mke wa marehemu alimuona mkuu wa mkoa,na upelelezi ukafanyika na maelezo yakachukuliwa,na kesi ilikuwa...