mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft...
  2. TANZIA:- Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

    Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu. Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam. Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
  3. Umaskini jeuri katika siasa hupelekea mwanasiasa kujidhulumu hadi uhuru na haki zake za msingi kikatiba na kuambulia hasara kwa kujitapeli mwenyewe

    Kuwaza, kupanga, kuamua na kutenda jambo lolote lile hususani kisiasa lenye kudhuru, kuumiza au kukuathiri wewe mwenyewe na pengine jamii Fulani, ni miongoni mwa dalili za mwanzo sana za dosari au kasoro katika uongozi wa taasisi za kisiasa au afya ya akili hususani kwenye siasa. Kwa mfano hapa...
  4. Mwanasiasa na Siasa

    Siasa ni Nini? Siasa ni mchakato wa kuongoza jamii kupitia maamuzi, utungaji wa sheria, na utekelezaji wa sera. Inahusisha watu binafsi na makundi yanayoshindania mamlaka na ushawishi juu ya rasilimali, utawala, na masuala ya umma. Kiini cha siasa ni uwakilishi na harakati za kushinda mamlaka...
  5. U

    Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

    Wadau hamjamboni nyote? Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana! Ukweli ni kuwa Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
  6. U

    Hivi ni mwanasiasa Gani alikuwa na Kingereza kizuri Kama B. Mkapa

    Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
  7. I

    Kuna mwanasiasa Tanzania wa kuweza kumkabili Rais kama hivi?

  8. Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  9. M

    Lisu na yeye ni mwanasiasa

    Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA. Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema Maslahi yake na familia yake. Sio kulamba bali hata kunywa asali
  10. Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

    Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania. Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
  11. David Kafulila ni mwanasiasa au mtumishi wa serikali?

    Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa. Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
  12. Pre GE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

    Asalaam aleykum, Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM. In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
  13. Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

    Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda tena. Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake Lema kaitisha press moja tu...
  14. Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  15. John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  16. Wanasiasa wapo CCM huwezi kuwa chama cha upinzani Afrika ukajiita Mwanasiasa. Wewe ni mwanaharakati tuu

    Salama kabisa! Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa kuelewa MUKTADHA WA mtu kuwa mwanasiasa na kuwa Mwanaharakati. Kwa mazingira ya nchi nyingi za...
  17. Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  18. M

    Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila Mwanasiasa dhaifu sana. Ukiangalia kwa undani zaidi utaona Hotuba nyingi za Lissu zinaiumiza sana...
  19. Mzee makongoro nyerere ndieo mwanasiasa pekee Tanzania ninaeweza kufuatilia hotuba zake bila kuchoka

    Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
  20. Q

    Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…