CCM:wanaodai katiba mpya ni wanasiasa ili waingie madarakani. Wapinzani:CCM wanabaki madarakani kwa kwa kutumia katiba hoi mbovu.
Sasa swali ni je,kuwa upinzani kunawaondolea haki ya kuwa kundi muhimu kudai katiba mpya?
Je, wanasiasa wanaopinga uwepo wa katiba mpya kwa nini wajipe umuhimu?
Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili.
Hivyo...
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka...
Kwema Wakuu!
Sijui anatumia uchawi gani.
Sijui anatumia mbinu gani za kimedani.
Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja.
Kama ni riadha za siasa tunasema Makonda angeshatangazwa ndiye Mshindi kwa sababu tangu aingie kwenye...
Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
Wakuu kwema?
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa?
"Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
Ndugu zangu habari za leo.
Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema.
Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii.
Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
Kwa maono yangu naona wanaoumia na kuumizwa ni watendaji wa Serikali pekee huku wanasiasa wafanya figisu wakiachwa wanapeta.
Ndugu Makonda unapoita katika ziara yako muhimu ya kichama hakikisha kuwa utumbuaji hauishii kwa watendaji wa Serikali pekee bali kamati nzima ya Siasa.
Iwapo kuna...
Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa.
Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri.
Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
Leo ninaandika nikiwa na mawazo mengi sana mchanganyiko. Kwanza nimeshtushwa na hili ongezeko la watu wanaoniita Anko/Mjomba badala ya kaka. Hii inaashiria nini kwa mimi kijana mdogo wa CCM mwenye miaka 38? Wakati nikitafakari hilo nikashtuka kuona mvi kwenye ndevu nilipojitazama kwenye kioo...
Miaka ya nyuma hili jeshi ilikuwa ni nadra sana kusikia wanatoa matamko kwenye vyombo vya habari, na ikitokea kutoa taarifa basi itakuwa ni taarifa ambayo ni nzito sana na kila mwanachi anakuwa na shauku ya kuisikia.
Pia walikuwa wakitoa taarifa au tamko basi ni mara moja na hutaona wakirudia...
Friends and Enemies...
Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia.
Sheikh MAZINGE ameendelea kusema kwamba wengine ndani ya nchi hii walikuwa wakimbizi wakaihama nchi pasipo...
Tukisoma Biblia tunaona kwamba hata Mwenyezi Mungu wakati anachagua Manabii, Mitume na watu wa kufanya kazi zake hakuwa akichagua watu legelege na waoga. Nabii Musa kwenye ujana wake aliona ndugu yake anaonewa na Mmisri akachukia na kumpa kipigo hadi kumuua yule Mmisri kisha kumfukia.
Yakobo...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi,
Hivi umejaribu kutumia hata dakika tano kumsikiliza huyu jamaa anaitwa Ezekia Wenje Mbunge Mstaafu wa CHADEMA wa jimbo moja huko Mwanza, jamaaa anajua na anajua tena. Jamaa akiwa anaongea unaona hadhira wanatulia kama wamemwagiwa maji, anajua jinsi ya...
Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande wa Tanzania.
Anadai akia Arusha alizuiwa muda mrefu kwa kile alichoambiwa kuna zuioa la yeye...
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022.
Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.