mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    Nigeria: Msanii agoma kumsapoti mwanasiasa kwenye kampeni ili heshima yake kwa kila mtu ibaki palepale

    Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
  2. kalisheshe

    Fanya yafuatayo kama una ndoto ya kuwa mwanasiasa mzuri

    Siasa ni maisha, siasa ni kila kitu katika taifa, ikiharibika siasa nyanja zote zimeharibikiwa ( elimu, uchumi, utamaduni na jamii). Hivyo basi hili ni jibu kwa wote wanaodhani siasa haihusiani na maisha Yao. Fanya yafuatayo kama una ndoto ya kuwa mwanasiasa mzuri. 1. Kamilisha elimu yako...
  3. U

    Maoni Yangu: Lema Mwanasiasa bora Afrika

    Habari ndugu wanajamii forums Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20. Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia wanasiasa wengi hapa TZ kuanzia mwalimu Nyerere na uwezo wao wa kujenga hoja utaona ni kama mtu...
  4. R

    Tanzania tunahitaji Rais ambae ni Mwanasiasa Bora au Mzalendo?

    Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
  5. M

    Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Hakuna anaemtumia huyu dada Maria zaidi ya Maria na tabia zake na ushangingi wake mwenyewe na tumbo lake. Maria alikuwa hawara kwa mwanasiasa fulani akahaidiwa ndoa halafu dakika ya mwisho akatoswa na kuolewa Mwanamke mwingine. Kichaa kilianza hapo. Wazee wa Slip way mnakumbuka enzi zile...
  6. M

    Huyu ndio mwanasiasa mwenye akili. Wapinzani wanafuata maono yake

    Ukweli mtupu, hapa anaelekeza kulamba asali kwa Mbowe. 👇
  7. DR HAYA LAND

    Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  8. AbuuMaryam

    Usimuamini Mwanasiasa hata siku moja: Hili kuongeza mshahara lipo kisiasa sana

    Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe... Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume... Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae... Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
  9. M

    Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  10. Analogia Malenga

    Chongolo atupa vijembe, asema mwanasiasa mzuri hupambana wakati muafaka

    Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri. Amesema mwanasiasa mzuri ni yule anayepambana muda husika, kujipanga mapema sio sahihi kwa kuwa huwezi jua ya kesho...
  11. Action and Reaction

    Mtazamo wangu: Nape ni mwanasiasa hodari kuliko Makamba

    Pamoja kuwa wote ni wana CCM lakini wametofautiana pakubwa sana, Nape yuko na moyo wa kuwatumikia wananchi. Makamba kila anachoongea hakitoki moyoni (anaweza kuongea kitu mpaka ukashangaa hivi huyu nae ni Waziri). Kwa kweli Nape namkubali sana mzee wa bao la mkono ila Makamba daaaa! kila...
  12. sky soldier

    Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

    wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli, Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ? ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
  13. GENTAMYCINE

    Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  14. G

    Hakuna mwanasiasa makini kama Freeman Mbowe kwa sasa

    Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa. Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu...
  15. M

    Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

    Majibu yenu Great Thinkers ni Muhimu.
  16. Mudawote

    Acheni kumfuatilia Polepole ni mwanaharakati siyo mwanasiasa

    Great thinkers, Tangu kufariki kwa Dkt Magufuli, na hatimaye Mh. Polepole kumaliza kipindi chake cha ukatibu mwenezi, yaani unaona kabisa Polepole alivyopwaya kama mwana siasa. Polepole ili aishi lazima awe mwanaharakati, yaani yeye akipiga maneno ndiyo kula yake hiyo, yaani hana tofauti na...
  17. T

    Tundu Lissu ni Mwanasheria mahili sana ila sio kiongozi wala mwanasiasa mzuri

    Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake. Mara zote...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Mwanasiasa yoyote kuwa na kesi ya kujibu sio kuwa na hatia. Tutambue na kuelewa 'legal issues'

    Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana. Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki basi huyo aliyeshitakiwa hutakiwa kukanusha huo ushahidi wa walioleta mashitaka. Tuache sheria...
  19. Countrywide

    Sitamchangia pesa Mwanasiasa yoyote

    Moja ya vitu ambavyo hushangaza kwa sisi watu ambao tupo kwenye ulimwengu wa 3 ni namna tunavyofanya maamuzi. Ukweli usiopingika ni kuwa tunahitaji wanasiasa watuongoze na ndio mfumo upo hivyo na wala sio jambo baya. Siasa katika nchi zetu ni biashara kubwa pengine kuliko zilivyo biashara...
  20. Jidu La Mabambasi

    Tom Mboya, mwanasiasa maarufu kuuawa nchini Kenya

    Tom Mboya Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969 Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa, Thomas Joseph Odhiambo Mboya, aliyejulikana zaidi kama Tom Mboya ameuwawa mjini Nairobi. Wazazi wetu...
Back
Top Bottom