Nawapongeza wachaga, waarusha, wairaq, wambulu, waMeru na
Wamasai kwa kukataa kutawaliwa. Hawa watu toka enzi ya mkoloni walimkataa mkoloni kwa vitendo, mkoloni alipobaini ni vigumu kuwatumikisha akaamua atumie wamishenari kwa ajili ya kutangaza injili kurahisisha njia ya kuwatala lakini...
Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana.
Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijua kuwa dalili mojawapo ya Taifa masikini ni kuwa na wakulima wengi!
Tanzania ina wakulima kati ya 65% hadi 80% katika population ya watu milioni 60, hivyo hili ni Taifa masikini sana!
Marekani yenye watu zaidi ya milioni 300 ina wakulima wasiozidi asilimia 10%...
Heshima sana wanajamvi,
Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi.
Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa.
Mwanasiasa huyo machachari kashindwa mara mbili kuripoti katika Hospital ya taifa kwaajili ya...
Hapa nilipo nchini Somalia katika Mji maarufu wa Hargeisa kuna Mwanasiasa Mmoja maarufu aitwae Mahmoud Salim kaenda Jela miaka mingi tu ila kuna mwingine nae pia ni maarufu na Kipenzi cha wengi aitwae Tariq Masoud muda wowote anaenda Jela.
Bahati nzuri wote hawa ni Marafiki zangu wakubwa Mimi...
Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita.
Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu.
Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo.
Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.