mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Nigeria: Mwanasiasa akutwa na Bilioni 1.16 taslim wakati wa uchaguzi

    Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu. Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa...
  2. S

    Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

    Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi. Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza Wizara nyeti Maisha yake ni ya kawaida wakati mwingine tunakumbana naye kwenye daladala. Ana heshima...
  3. J

    Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

    Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu! Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu! Wapinzani ndio hao walamba asali. Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu kwenye Siasa.
  4. chiembe

    Vijana, tusikate tamaa ya maisha: BABUTALE, mwanasiasa nguli, atunukiwa udaktari wa heshima

    Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma. Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo Hureee vijana
  5. IamBrianLeeSnr

    Mwanasiasa wa upinzani, Mwanasheria nguli, anatarajiwa kuwasili nchini. Hivi ni kweli Tundu Lissu bado ana ushawishi?

    Licha ya kuwa nje ya Tanzania kwa miaka mitano na ushei, ushawishi wake katika siasa za upinzani bado ungalipo. Kwa lugha nyingine ni kusema; makovu yake ya kisiasa hayajaondosha mvuto wake wa kisiasa mbele ya wafuasi wa chama chake. Tundu Lissu alisifika kwa ukosoaji dhidi ya serikali ya...
  6. ASIWAJU

    Tundu Lissu ni mwanasiasa bora wa upinzani kwa sasa

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za kitaifa na kimataifa kwa muda mrefu sasa. Taifa letu la Tanzania limekuwa na siasa za uonevu mkubwa wa haki za msingi kutoka kwa watawala kwenda kwa watawaliwa. Aina hii ya uonevu unao tendeka hapa nchini unao sababishwa kwa asilimia kubwa na watawala ambao ni...
  7. Roving Journalist

    Nape: Wanahabari, kama Mwanasiasa akitoa lugha ya matusi jukwaani achana naye usiripoti taarifa yake

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumzia uamuzi wa Rais Samia Suluhu kuruhusu mikutano ya siasa ya vyama, ambapo amewatahadharisha Wanahabari juu ya mikutano hiyo. Nape amesema “Rais amefungulia mikutano ya hadhara, ni matumaini yangu Wanahabari wa...
  8. DodomaTZ

    DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

    Kauli ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika Video: Jambo TV
  9. Getrude Mollel

    Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  10. sifi leo

    Nimeufunga mwaka 2022 kwa kupokea zawadi nzuri na tamu kutoka kwa Zitto Zuberi Kabwe. Mitandao ya kijamii itumiwe vyema

    Nianze Kwa kuusema ukweli, Nimewai kupata zawadi nyingi sana Mosi ni uhai kutoka Kwa Mwenyezi Mungu. Pili ni zawadi ya Elimu kutoka msingi mpaka Chuo kikuu namshukuru sana Mama yangu Mzazi. Zawadi ya Tatu ni penzi Tamu kutoka kwa Mke wangu mpenzi (likivurugika naweza kuwa mwehu Bure). Zawadi...
  11. Allen Kilewella

    Unadhani ni umri gani kwa mwanasiasa haufai kugombea nafasi za kisiasa Tanzania?

    Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa?? Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
  12. T

    Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

    Wasalaam JF, Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala, Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
  13. M

    Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Asalam aleykum! Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
  14. Pascal Mayalla

    Salma Kikwete ni Mwanamke wa Shoka, Mke, Mama, na Kiongozi. Ashusha hoja 10 za nguvu, aanza na Samia na kumaliza na Samia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala hizi, "Kwa Maslahi ya Taifa" kuzungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa letu liwe ni jambo la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kwa vile mimi ni mtu wa mastori stori yaani story teller, naomba nianze kwa mastory ya ilikuwaje...
  15. The Burning Spear

    John Mnyika ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa

    Great thinkers. Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa. Zitto Kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali. Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana. Ukiwa famous unarudi CCM...
  16. Greataziz

    Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  17. El Roi

    Kilichomwangusha James Mbatia ni kuwa mwanasiasa wa wastani

    Wakati wa siasa za mwanzo wa vyama vingi na kabla kidogo ya kuanza mfumo wa vyama vingi awamu ya pili, James Mbatia alionekana kuwa mwanasiasa shupavu na kama ungemuona miaka hiyo, siasa zake zilikuwa na mwelekeo na zenye mguso. Ndo maana katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995 James...
  18. Allen Kilewella

    Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

    Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi. Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Zaidi ya kunitia ndani, kunipiga na kunitesa, je mwanasiasa aliye madarakani ana kipi kingine cha kunifanya?

    Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya. Ukishayafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao. Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
  20. EINSTEIN112

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
Back
Top Bottom