Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.
Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.
Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .
Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.
Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya...
"Hata kwenye Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu imeeleza kwamba Mwanamke ni nani?, ili kueleza kwa nini tunasema Mwanaume ndiye anayeweza kubaka na sio Mwanamke, japo siku hizi kuna Kampeni nyingi, Wanaume nao wanasema na wao wanabakwa wasikilizwe, lakini sababu kubwa ndio hiyo kuwa kuna mwenye...
Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k..
Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini, wanaojitambua, wanaojiheshimu, wanaojali, walio na upendo wa dhati!, si mwingine bali ni Mkurya...
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
Kwema wakuu
Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye
1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat.
2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa
Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
Habari wadau.
Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs.
Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo
Mada kwa ajili ya wanaume
Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.
Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu!
Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa!
Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama.
Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje?
Mbarikiwe!
Habari?
Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe.
Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.