Habari wana JF,
Ni kitambo kidogo sijaonekana humu JF, leo nimeona nitoe ushauri kwa waandishi wa vitabu; nimepokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wakitaka kujua namna ya kuuza vitabu vyao online(e-book) na namna ya kupata jukwaa nzuri la kuuza vitabu vyao bila kutapeliwa na wajuaji online...