mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Jerlamarel

    Serikali ya Tanzania yasema polisi bado wanachunguza kupotea kwa Mwandishi wa habari Azory Gwanda

    Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumapili mjini Mwanza.Msigwa amesema hakuna taarifa mpya ya...
  2. Linguistic

    Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Amshusha kwenye Gari Mwandishi wa Habari wa Wapo Radio

    Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu . Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
  3. Erythrocyte

    Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  4. NITAKUKAMATA TU

    Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  5. Behaviourist

    Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  6. Baba Swalehe

    #COVID19 Ufahamu ugonjwa wa COVID 19

    Mwezi uliopita nikiwa jikoni naandaa chakula cha jioni kwa ajili ya familia kulitokea ubishani mkali kati yangu mimi na mwanangu Mcdonald kuhusu umuhimu wa yeye kunawa mikono akitoka kwenye michezo yake katika mabishano hayo kijana wangu alijaribu kubishana na mimi asiamini chochote...
  7. R

    TANZIA Mwandishi wa vitabu vya kiswahili na kiingereza Greyson Mhilu amefariki dunia

    Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO. Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM. Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
  8. Prof Koboko

    Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

    Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
  9. E

    Chimamanda Ngozi Adichie Mwandishi nguli Afrika

    Chimamanda Ngozi Adichie was born in Enugu, Nigeria in 1977. She grew up on the campus of the University of Nigeria, Nsukka, where her father was a Professor and her mother was the first female Registrar. She studied medicine for a year at Nsukka and then left for the US at the age of 19 to...
  10. Suley2019

    Mtoto wa Rais Mali matatani akihusishwa na tukio la kutoweka kwa mwandishi 2016

    PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
  11. and 300

    Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

    Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje urais? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
  12. Erythrocyte

    Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

    Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano yenyewe sasa mambo yalikuwa hivi .
  13. A love

    Msaada wa Kazi za online, mwandishi wa kujitegemea

    Habari zenu, ninatafuta ajira kwa kuandika online kwa mtu mwenye anafahamu anamiliki online Chanel yoyote inayolipa, msaada wa connection ninahitaji. Naandika kwa lugha ya kiswahili, ni machapisho ya aina yoyote ile.
  14. Mung Chris

    Mwandishi wa Umma ni nani na ana qualification zipi

    Huwa naona vibao kwenye vyumba au ofisi vimeandikwa Mwandishi wa umma, naomba kujuzwa hawa huwa wana Level ipi ya Elimu, Je huwa wana lesseni ya kazi hizo, kwa kingereza anaitwa nani, kazi zake kwenye ofisi hiyo huwa zinahusu nini na je unahitaji kibali kingine cha aina gani ili kufanya kazi hii.
  15. M

    Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  16. S

    Hongera Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - Mwandishi aliepigwa na askari afarijika

    Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar. Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
  17. Analogia Malenga

    Mwandishi wa Mwananchi Jesse Mikofu ashambuliwa na askari akitekeleza majukumu yake

    Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Zanzibar, Jesse Mikofu ameshambuliwa na askari wa vikosi vya SMZ wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi leo asubuhi Jumatano Aprili 21, 2021. Mikofu amekumbwa na kadhia hiyo baada ya kuwapiga picha askari hao wakati...
  18. mbutamaseko

    Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
Back
Top Bottom