Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya...
Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico
Mwandishi huyo mwenye umri wa Miaka 62 alikua anaendesha Ukurasa Katika Mtandao wa #FaceBook akiangazia Habari na Matukio ya...
Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT).
Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari...
Modes naomba msiunganishe thread yangu na mtu yeyote
Kwa miongo mitano aliyojihusisha na fasihi, Sir Salman Rushdie si mgeni na vitisho vya kuaawa anavyokabiliwa navyo kutokana na kazi yake.
Mwandishi huyu wa riwaya ni mmoja kati ya waandishi wa Uingereza wanao pigiwa upatu na aliye na...
Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York.
Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
Misri imewaachia huru wafungwa saba wakiwemo mwandishi wa habari Hisham Fouad pamoja na mtafiti wa masuala ya binadamu (anthropology) Ahmed Samir ambao walikuwa wakishtakiwa na makosa yanayohusiana na ugaidi.
Hatua hiyo imefanyika siku moja baada ya Serikali ya Rais Abdel Fattah el-Sissi kutoa...
Idara ya ujasusi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemzuilia mwanahabari wa Marekani Stavros Nicolas Niarchos baada ya kudaiwa kukaribia makundi yenye silaha Kusini Mashariki mwa nchi hiyo
Mwanahabari huyo mwenye umri wa miaka 33, ambaye anaandikia magazeti ya Marekani The Nation na...
Mwandishi wa habari, Antonio de la Cruz (47) ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nje ya nyumba yake huku binti yake akijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo Mjini Ciudad Victoria Nchini Mexico.
Marehemu alikuwa akiripoti katika Gazeti la Expreso kwa zaidi ya miaka 20, anakuwa mwandishi wa 12...
Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao.
Gamal alionekana mara ya mwisho siku 20 zilizopita katika sehemu yenye maduka makubwa akiwa na mumewe.
Mwili...
Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m
Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war
The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011.
Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
Breaking News: Mwandishi wa Habari Mkoani Arusha, Lilian Oddo ambaye anafanya kazi na mwandishi wa Wasafi tv Bw. profit Mmanga, na yeye amekamatwa akiwa maeneo ya darajani/vibandani njia ya kwenda Kwa Morombo Jijini Arusha, na amepakiwa kwenye gari nyeusi ambayo ndani yake yupo Profit, bado...
Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake.
Chanzo...
EMPLOYER: Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti;
ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge;
iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za...
Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani
Waendesha mashtaka wa jeshi...
Habari Authors.
Bado naamini kwenye eBook business ili mwandishi aweze kufanikiwa kwenye taaluma yake ya uandishi kutokana na kupunguza gharama ya uchapishaji na kutapeliwa na PUBLISHERS. Nimepata wazo la kukutana na waandishi wa dar kwanza iliniwaze kuwaelezea how ebook business works and how...
Habari mwandishi wa vitabu!
Nimepigiwa simu na waandishi wengi sana wakitaka kujua zaidi namna ya kuuza vitabu vyao online especially amazon, mara nyingi uwaga nawajibu kwa amazoni ni kazi sana kuuza vitabu labda uwe unaandika vitabu vya kingeleza mayb unaweza ukauza kinyume na hapo ni jau...
Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini Ukraine kutangaza hali halisi ya vita ikiwemo uokoaji wa watu.
------
A French journalist has been...
Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980.
Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani.
Habib...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.