Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye.
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
Maxence Melo
Miaka 20 iliyopita ,bwana Melo alikuwa miongoni mwa wa waasisi wa mtandao wa Jamii Forum, mtandao uliokuwa ukiibua masuala ya rushwa na kusaidia kushinikiza uwajibikaji wa viongozi wa kisiasa.
Shughuli hizo zilimpelekea kufahamika duniani, kwa kuwakilisha uandishi bora katika...
Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja.
Taarifa zaidi zinafuata...
~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari
~ THRDC: Mwandishi...
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta.
Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza...
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa.
Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya.
Kwa...
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!
Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu.
link ya vitabu
Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani.
Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
Kuna Taarifa za mwandishi wa Habari wa ITV mkoa wa Simiyu anashikiliwa na jeshi la polisi kituo kikuu cha polisi Bariadi.
Kwa wale waandishi mlioko hapo kituo cha polisi tupeni mrejesho ni nini hasa kilichopelekea kukamatwa na kuswekwa polisi
Shikamooni wakubwa zangu,
sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo.
wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo...
Mwanahabari Kazimbaya Makwega ambaye alikamatwa na Askari Polisi akiwa Chuo cha Mallya, Kwimba (Mwanza), Februari 22, 2024 kisha kusafirishwa hadi Dodoma kwa tuhuma za kuandika maneno ya uchechezo dhidi ya Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM) kupitia tovuti yake ya ‘Mwanakwetu’, ameachiwa kwa dhamana...
Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea?
===
Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma
Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa dini, ukishajiunga kwenye uzombi wa ile dini yaani wewe na ugaidi mnakua kama pete na chanda...
Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding)
kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
Wanabodi,
Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM.
Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba...
Wanaukumbi..
⚡️[Itathibitishwa]
Habari za kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Kiyahudi Jerry Yorkam, ambaye aliandika ripoti inayoelezea idadi ya Wayahudi waliouawa katika vita vya Gaza baada ya siku 83 za vita.
Idadi ya magari 825
Idadi ya Wazayuni waliouawa 8435 Idadi ya vifo vya Ufaransa 902...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.