mwandishi

Mwandishi is the ninth album by jazz pianist Herbie Hancock, released in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mahakama yawaachia huru Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake wawili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam imeifuta Kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp iliyokuwa ikimkabili Mwandishi wa Habari za Afya na Uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Uamuzi huo wa...
  2. Roving Journalist

    Mwandishi nguli na Mkuu wa Dawati la Uchunguzi JF, Simon Mkina achaguliwa kushiri mafunzo ya kung’amua na kuzuia Utakatishaji Fedha

    Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani. Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
  3. S

    Sijamuelewa kabisa huyu mwandishi wa Mwanasport

    Kwenye ile gem ya Yanga vs al ahly, naona mwandishi anaandika eti Yanga amembana Al Ahly! Aisee like seriously? Hivi nani alipaswa kubanwa kati ya mwenyeji na mgeni? kiutaratibu wa kisoka..
  4. Bull Bucka

    CPJ: Mamlaka za Burkina Faso zihakikishe usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara

    Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
  5. BARD AI

    Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  6. Vincenzo Jr

    Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika Damu ya mtu ni nzito bana.
  7. Roving Journalist

    Kesi inayomkabili Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake kuendelea kusikilizwa Novemba 29

    Mchakato wa kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili Mwandishi wa Habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo inatarajiwa kuendelea Novemba 29, 2023. Usikilizaji wa mashahidi katika kesi hiyo...
  8. R

    Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
  9. Braza Kede

    Mwandishi ashindwa kumhoji Mzee Arsene Wenger

    Kuna video inamuonesha mwandishi wa habari akihaha kumkimbilia Kocha wa zamani wa Arsenal ya Jijini London, Mzee Arsene Wenger kwa ajili ya kupata mahojiano mara baada ya nguli huyo kutua Airport ya JK Nyerere kwa ajili ya michezo ya African football league (afL). Kichekesho ni pale Mzee Wenger...
  10. S

    Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  11. JanguKamaJangu

    Mwandishi wa Habari auawa kwa Bomu la kujitoa mhanga

    Abdifatah Moalim Nur maarufu kwa jina la Qeys aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV amefariki kwa shambulio la bomu wakati alipokuwa kwenye mgahawa katika Mji Mkuu, Mogadishu. Anakuwa Mwanahabari wa kwanza kuuawa ndani ya Mwaka 2023 Nchini Somalia. Kundi la Wanamgambo wa Al-Shabab limekiri...
  12. Mhaya

    Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  13. Ritz

    Gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni-Ari Shavit

    Wanaukumbi. Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana kwamba tunakabiliana na watu wagumu zaidi katika historia, na hakuna suluhu kwao isipokuwa tu...
  14. JanguKamaJangu

    Urusi: Mwandishi wa Habari aliyeandamana ahukumiwa kwenda jela Miaka 8.5

    Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo Mahakamani. Amekutwa na hatia ya "Kusambaza hadharani habari za uongo licha ya kuwa na ufahamu kuhusu...
  15. Kilimbatz

    Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀: • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • CR Belouizdad 🇩🇿 • Al Hilal 🇸🇩 • Medeama 🇬🇭 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁: • Wydad AC 🇲🇦 • Simba SC 🇹🇿 • ASEC Mimosas 🇨🇮 • Jwaneng Galaxy 🇧🇼 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂: • Al Ahly 🇪🇬 • Petro de Luanda 🇦🇴 • Yanga SC 🇹🇿 • FC Nouadhibou 🇲🇷 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃: • ES Tunis 🇹🇳 • Pyramids...
  16. D

    Kuachiwa kwa Dkt. Slaa na wenzie, Upinzani muangalieni kwa macho ya kijasusi Mwandishi Bollen Ngetti

    Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano. Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
  17. zittahmore

    Hadithi: Kifo cha mwandishi

    HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: More Mawasiliano: 0756320219 Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
  19. Mohamed Said

    Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  20. R

    Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
Back
Top Bottom