Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu.
Katika tafakuri zangu za maisha nimepata wazo moja ambalo nahisi linaweza kunisaidia kwenye siku za usoni, nataka kuanzisha mji wangu mimi...
WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million.
ENEO: BUKAGA, KISHIRI
KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17.
NYARAKA: HATI YA MAUZIANO
BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU TOKA BARABARA KUU YA UELEKEO WA Kona ya FELA.
MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME NI UHAKIKA.
MAWASILIANO...
Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza.
Bwalya, ambaye kwa sasa anaitumikia Napsa Stars ya Ligi yao ya Zambia, anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya...
Leo nilikuwa eneo la Buzuruga Shule, ki ukweli hali nilioiona imenisikitisha sana kutokana na marundo ya uchafu yaliyojazana kwenye mitaro maeneo hayo eneo maarufu la Shule.
Wahusika watoke ofisini na kujionea hali ya uchafu iliyopitiliza eneo lote la Buzuruga.
BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika.
Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao.
https://youtu.be/3PyU0Qx-7MU?si=qyZ9R-NZCnD2AKX9
Leo tarehe...
Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara.
Hii ni mitaa ya Furahisa – Kirumba.
Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi
Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
Wakuu,
Huko Misungwi mkoani Mwanza Mawakala wa Uchaguzi wapongeza zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Soma pia: Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA
Ina maana kuwa hawa mawakala hawakuona changamoto zilizojitokea...
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana.
Aidha, licha ya baadhi ya Mitaa Wilayani Nyamagana na kushuhudiwa Wagombea wa CCM wakitangazwa kuongozwa Kwa...
Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile
Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura
Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu.
Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba, amesema watu nane wanashikiliwa baada ya kuchukua kura na kukimbia nazo.
Soma pia: Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza, CCM tutaenda nao Mperampera. Ukishapiga kura linda kura
Chanzo: ITV
Wakuu
Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza.
Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye...