Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
Wakuu,
Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha?
Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.
Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.
Au Kuna changamoto ambazo...
Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi.
Soma, Pia:
+ Vurugu...
Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo viwili mfululizo vya Azam FC na Tabora United.
Tulijua tokea Wiki Tatu au Mbili kuwa tunaenda...
Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia?
Hihi kweli RC wangap...
Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha.
Mkoa una...
Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho'
========
Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC, kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa...
Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na kocha msaidizi, Taarifa hizi si sahihi
Ukweli ni kuwa mkuu wa mkoa alipokea simu kutoka kwa maafisa...
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo. ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu,.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza...
Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8.
Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20 Novemba 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya ya Kwimba, Ndeko Dastan Ndeko ambaye ndio Hakimu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
Maeneo ya Daraja la Masai
Daraja la Masai
Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa.
Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma.
===
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amezindua tamasha la Ilemela nyama choma litakalokuwa...
Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri.
Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.
Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za...
Wakuu,
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia jumla ya watu 91 wakituhumiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya kihalifu yakiwemo ya ulawiti na ubakaji, wizi na wanawake wanaojihusisha na vitendo vya ukahaba hapa jijini.
Pia madereva Sita wa mabasi ambao watachukuliwa hatua kali za...
Sina mengi ya kusema zaidi ya kutoa pongezi Kwa kampuni yenu.Mmeleta mapinduzi makubwa
1. Kwanza gari Luxury kabla tulikuwa na kampuni zenye magari Ordinary Class tu.
2. Uhakika wa safari kufika mapema sio swala la kujadiliana Tena.Maana maintainance ya magari yenu ipo levo za juu...
Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini.
Jijini Mwanza, biashara hii imekuwa ikifanyika kama vile imehalalishwa hasa maeneo ya Kirumba na Igoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.