mwanza

  1. Roving Journalist

     Mwanza: Mradi wa maji chazo cha Ziwa Victoria Butimba Mwanza kazi imekamilika

    Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya Maji Mwanza aliweka bayana kuwa mwezi huu wa Octoba mradi mkubwa wa Maji wa chanzo cha Ziwa Victoria...
  2. Tajiri wa kusini

    Morogoro, Mpanda na Mwanza ni sehemu poa sana na mna nafasi yenu peponi

    Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni...
  3. B

    Utatuzi wa changamoto za walimu Mwanza ni changa la macho na uongo mkubwa kuwahi kutokea

    CWT mkoa wa Mwanz kwa kushirikiana na maofisa kutoka waizara ya Utumishi wa Umma iliaandaa kliniki ya utatuzi wa changamoto za walimu jana 13, October 2024. Badala ya kutatua changamoyo kilichotokea ni maafisa wa Utumishi Dodom kutoa ushauri tu na hakuna afisa aliyetatua changamoto hata moja...
  4. chiembe

    Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

    Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua. Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi) Asiye na...
  5. R

    Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

    Habari viongozi, Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma kidogo, Mwanza ni mara chache sana, Au Mwanza mnapeana kazi chini kwa chini?
  6. Wizara ya Ardhi

    Hati mikili za Ardhi 310 zatolewa Jijini Mwanza, Waziri Ndejembi awafikia na kusikiliza wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa kuwa ardhi ni mtaji waitunzi ili iwatunze. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia awasili Mwanza kwa maandalizi ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge pamoja na Wiki ya Vijana

    Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo Jumamosi Oktoba 12, 2024 ambapo atatembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya barabara, Sekta za afya, elimu, na uwekezaji, sambamba na kutoa maelekezo mahsusi ya kuharakisha...
  8. GENTAMYCINE

    Wanawake wa mikoa ya Mpanda, Kigoma, Rukwa na Ukerewe Mwanza ni 100% Wife Material

    Leo Kazi ipo hapa, ila ukiona GENTAMYCINE kaja na Jambo hapa jua kwa 101% liko kweli na nimeshalifanyia sana Utafiti.
  9. Azoge Ze Blind Baga

    Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

    CCM wanalazimisha sana kukubalika Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
  10. Nyankurungu2020

    Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

    Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
  11. ngara23

    Mwenge una Siri Gani? Viongozi Mwanza wanafanya miradi usiku kucha

    Mwenge wa uhuru tunavouchukulia inaweza ikawa tofauti na tunavyodhani. Nadhani viongozi wa mbio za Mwenge wanaenda ku report Kwa Rais mambo mazito, hawajali Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi n.k. Wao wakikuta mambo ya ovyo wanakulipua juu. Mwenge kesho unaingia Ukerewe ila viongozi...
  12. Roving Journalist

     Waziri Aweso: TARURA na MWAUWASA wanafanya mchakato wa kurejesha maji kwa Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu mabomba, ufafanuzi umetolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Waziri Aweso amesema “Ni sahihi kuwa...
  13. Hypersonic WMD

    SIDO Mwanza wako sehemu gani?

    Habari zenu wakuu! Naomba kuuliza SIDO Mwanza wanapatikana wapi?
  14. M

    Ni lipi Basi zuri la VIP la kwenza Mwanza kutoka Dodoma

    Naomba kujuzwa basi zuri la VIP la kutoka Dodoma hadi Mwanza lisilo na mwendo mkali. Ni mara ya kwanza kuelekea jiji la Mwanza.
  15. G

    Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ? Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
  16. Roving Journalist

    Elimu ya Ukatili yawafikia wavuvi wa Mkuyuni, waonaofanya vitendo hivyo waonywa

    Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi wa mwalo wa Mswahili Mkuyuni huku likiwaonya wanaofanya vitendo hivyo kuwa watachukuliwa hatua za...
  17. P

    KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

    Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani. Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari. Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara...
  18. Kizibo

    Ofisi za Katarama Luxury Mwanza ziko maeneo gani?

    Habari wakuu. Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand? Natanguliza shukrani.
  19. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  20. Eli Cohen

    Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
Back
Top Bottom